Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
- Thread starter
- #61
wape ushauri sasa, wafanyeje ili wawe ndani ya dini na kisha wapate dunia yao, maana dunia si haramu ni sehemu ya maisha ya mwanadamu.Labda niwaambie kitu kimoja ndg zangu Wazanzibar
Ikiwa mnataka Zanzibar ijitoe katika Serikali hii...na mpate Serikali nyengine itakayowapa Dunia yenu....bila ya kuchunga Mipaka ya Allah na maamrisho yake.....Basi ni sawa kutumia njia hizi mnazotumia kwasasa
Ila
Tahadhari sana
Msitumie kivuli cha Dini kwa lengo la kuipata Dunia
Wallah hamtofanikiwa hata siku moja
Dunia huletwa na Dunia yake
Mbele ya Dunia....Hakuna Halali wala Haramu...Vyote ni sawa
Lkn Dini
inahitaji ufuate kanuni zake...ikiwa mnakusudia Dini
Bila ya hivyo
mnampigia mbuzi gita
Maana mtume alifundisha watu waitafute ahera yao lakini wasisahau dunia yao.
Eleza sasa acha kuzunguuka, wafanyeje ili waipate dunia yao