Wazanzibar ni watu wema sana, Uislamu wao umewafanya wawe hivyo

I lete hapa hio habari halafu uone. Unawasema vibaya wazenj halafu umekodi nyumba yake unatumia umeme bure, halafu unakuja humu kupiga propaganda
Usiongee vitu ambavyo hujui mzee, halafu mi sijawasema vibaya mi nimeongea ukweli. Sasa kama kuongea ukweli ndo kusema vibaya sawa.

Mi kukodi nyumba yao unaona kama wamenifanyia wema! Sikai Bure mkuu, umeme unaosema natumia bure, ni unaongea tu kujifurahisha. Pesa ya umeme ninayotoa kwa mwezi nikisema hiyo niwawekee wazazi wangu kule walipo umeme huo utatumika miezi zaidi ya 10.

Ninachoona ni kwamba umeamua tu kuwatetea wazenji. Sasa nikusanue kitu, hutakuta hata siku moja mzenji akiwatetea wabara kwenye jambo lolote. We endelea kuwa mtumwa.
 
Alikuwa anachinja huku anasema Allah Akbar😭
Kuna wakiristo wengi tu wanachinjana. Juzi mchina kachinjwa kwa milioni 10 Mabibor. Fatilia waliokamatwa, akina John, Bocas na Yohana. Sio Abubakar wala Abrahaman
 
Halafu pengine ugomvi wa mapdri kugombea sadaka na madaraka mpaka kuchoma kanisa. Mnawasingizia watunwengine humu jf
Mi naongea Hali halisi we unaleta habari za pengine! Hebu kaa na huo ujinga wako.
 
Kumbe unatumia choo cha Mzanzibari halafu humu unapiga propaganda? Wazanzibari watu wema sana. Tatizo mkienda huko wengine mnachuki binafsi moyoni
 
Kumbe unatumia choo cha Mzanzibari halafu humu unapiga propaganda? Wazanzibari watu wema sana. Tatizo mkienda huko wengine mnachuki binafsi moyoni
😂😂We jamaa sijui kama una akili zinazotosha kujadili mambo ya maana.
Endelea kujibizana na wengine naona huna point za msingi
 
😂😂We jamaa sijui kama una akili zinazotosha kujadili mambo ya maana.
Endelea kujibizana na wengine naona huna point za msingi
Taja jambo baya uliofanyiwa na Wazanzibari ambalo ukiwa bara huwezi kufanyiwa
 
Jf ya mkiristo? Yupi huyo? Nasikia mmiliki wake yupo njiani kuona nuru
Hakuna mtu mwenye akili timamu akasilimu ili apewe mabikra 72,je na wanawake ndio hao mabikra 72 wanaendwa kutombwa au,dini ya kiislamu imekaa kifalafala sana
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu akasilimu ili apewe mabikra 72,je na wanawake ndio hao mabikra 72 wanaendwa kutombwa au,dini ya kiislamu imekaa kifalafala sana
Bikra 72 ni moja tu kati ya mamilion ya starehe. Halafu mod mbona huyu mtu anatukana sana humu?
 
Kichaa wa Zanzibar ni bora kuliko Shekh wa bara
 
Kuna wakiristo wengi tu wanachinjana. Juzi mchina kachinjwa kwa milioni 10 Mabibor. Fatilia waliokamatwa, akina John, Bocas na Yohana. Sio Abubakar wala Abrahaman
Walimchinja kwa kisu wakisema Bwana Yesu Asifiwe?
 
Kulikuwa na professor na scientists mmoja huko ulaya alikua na akili kama zako. Hivi sasa muislam na juzi karudi hijja. Ukituliza akili zako na ukatolewa mapepo na Gwajiboy siku zijazo utasilimu
Unaota wewe. Yani mimi ata Kwa Upanga siwezi kuwa muislam. Najua maana ya uislam. Ni dini ya hovyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…