Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Au tunapanda mabomu chini ya kisiwa chao tunakiripua chote😆😆Kwanza usihangaike nao kila siku kina Cha maji kinaongezeka
Watakuja tu wenyewe kupiga magoti
Nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hakuna Zanzibar. Kuna Unguja na Pemba.Hili ndio Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!.
Toka Muungano , Tanganyika imekua inaibeba sana Zanzibar , Kwa Tanganyika kama kupoteza tulishapoteza vitu vingi sana Kiasi kwamba HAMNA NAMNA YOYOTE YA KUIACHA ZANZIBAR IWE NCHI .
Zanzibar ni Alama Nyekundu kwa Watanganyika, ni sawa na ilivyo Taiwan kwa Uchina, Ukraine kwa Warusi.
Tutaivamia kijeshi Zanzibar, Tutawapiga wahuni wote na Tutaifanya Mkoa wa Tanganyika.
Wazanzibar Kaeni kabisa kwa Kutumia, Kama mnaiba Mali za Watanganyika, mkifikiri mtavunja Muungano,,, Mtatapika vyote vya tangu 1964.
Nyerere alikuwa mjinga kwenye muungano huu.Hili ndio Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!.
Toka Muungano , Tanganyika imekua inaibeba sana Zanzibar , Kwa Tanganyika kama kupoteza tulishapoteza vitu vingi sana Kiasi kwamba HAMNA NAMNA YOYOTE YA KUIACHA ZANZIBAR IWE NCHI .
Zanzibar ni Alama Nyekundu kwa Watanganyika, ni sawa na ilivyo Taiwan kwa Uchina, Ukraine kwa Warusi.
Wazanzibar Kaeni kabisa kwa Kutumia, Kama mnaiba Mali za Watanganyika, mkifikiri mtavunja Muungano,,, Mtatapika vyote vya tangu 1964.
Mkuu, kwa hiyo kabla ya muungano hiyo mikoa uliyoitaja ilikuwa ni milki ya zanzibar? Vipi ikulu ya magogoni ilijengwa na wazanzibar?Inasemekana Sina uhakika
Bandari ya Tanga ,dar na mtwara ni aridhi ya nzanzibar
Na ndio maana hata bagamoyo sugar Iko nzanzibar
Kama ni kweli basi swala muungano si la kurisheherekea uvunjike
Wataishi km wakimbizi au waende Oman hukoKwanza usihangaike nao kila siku kina Cha maji kinaongezeka
Watakuja tu wenyewe kupiga magoti
Wazanzibar wengi hawapend kaz za kutumia nguvu.Mkuu, kwa hiyo kabla ya muungano hiyo mikoa uliyoitaja ilikuwa ni milki ya zanzibar? Vipi ikulu ya magogoni ilijengwa na wazanzibar?
Hili linataka pia Watanganyika walifahamu. Usijitie uziwi.Hili ndio Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!.
Wacha kuzungumza uongo na kujimwambafai. Mumepoteza nini?Toka Muungano , Tanganyika imekua inaibeba sana Zanzibar , Kwa Tanganyika kama kupoteza tulishapoteza vitu vingi sana Kiasi kwamba HAMNA NAMNA YOYOTE YA KUIACHA ZANZIBAR IWE NCHI
Kama vile Tanganyika ilivyo alama nyekundu kwa Wazanzibari.Zanzibar ni Alama Nyekundu kwa Watanganyika, ni sawa na ilivyo Taiwan kwa Uchina, Ukraine kwa Warusi.
Huu muungano kama utavunjika utavunjika kwa maamuzi ya pande mbili. Naona unajisahau mno. Zingatia hilo.Wazanzibar Kaeni kabisa kwa Kutumia, Kama mnaiba Mali za Watanganyika, mkifikiri mtavunja Muungano,,, Mtatapika vyote vya tangu 1964.