Wazanzibar wanaendelea kudai mamlaka kamili ya nchi yao

Hilo halina mjadala unakuwa na ndugu alafu anakuwekea guu la shingo tuacheni tupumue,mnaogopa kuchukuwa zile 10km za ukanda wa pwani,maana mnajua kisheria hamtoki. Aafu saivi yupo Samia da tukiikosa chansi hii itabidi tusubirie mwengine akate roho.
Hamuwezi chukua km zozote
 
Wacha ushoga wako Visiwa vina tarekhe yake kwa nani anangania muungano ni Zanzibar au Tanganyika .kabla 1964 Zanzibar ilikuwa inategemea bara .Mimi nataka sasa hivi muungano uvunjike muone baada ya 10 yrs mutaingia kwa viza kama Dubai .Wazanzabari wote hawataki muungano nyie unganeni na Kenya na Uganda au Ruawanda ardhi moja mpk munafanana tu.
 
Watanganyika muwe na msimamo na mujifahirishe na Tanganyika yenuuuu.Muko hovyo hovyo ndio Meko akawapakua kwa 5 yrs na kumpigia makofiii.
 
kwamba twende zenji kwa visa kama dubai? kwani hata sasahivi hakuna visa unafikiri mlivyo wabaguzi kuna mtanganyika huwa anapenda hata kuja huko? kwanza mapunga wengi huko.
 
Unahisi ikifanyika partition hizo 10KM zitakuwa za Zanzibar Imagine eti wazenji wamekaa Posta eti nchi yetu....kile cha Palestina na Ez ndio kitatokea
Hizo 10km na sisi 10km zetu zitakuwa wapi.. Ni ujinga kutumia mkataba wa Mwingereza na Mwarabu kuhusu maisha yetu Waafrika
 
Hizo 10km na sisi 10km zetu zitakuwa wapi.. Ni ujinga kutumia mkataba wa Mwingereza na Mwarabu kuhusu maisha yetu Waafrika
kwani sisi tulipopata uhuru toka kwa mwingereza, kulikuwa na hizo ten km? si tulinyang'anya ardhi yote kasoro visiwa tu? visiwa vikabaki kwa mwarabu naye akaja kuporwa wakati wa mapinduzi, kwahiyo watakachodai ni hivyo visiwa viwili tu ambavyo walimnyang'anya sultan, hakuna kingine. vingine vyote vilivyobaki sisi tulishachukua tangu hata hawajapata uhuru. hata hivyo, kama wao wanaamini baadhi ya maeneo bara kama dsm, pwani etc ni yao, kuna umuhimu gani wa kutengana sasa mbona bado muungano u takuwepo tu, si watakuwa hapahapa bara...hahahaha. wajinga tu.
 
kwamba twende zenji kwa visa kama dubai? kwani hata sasahivi hakuna visa unafikiri mlivyo wabaguzi kuna mtanganyika huwa anapenda hata kuja huko? kwanza mapunga wengi huko.
Sasa weye unaogopa nini weye huna mdomo wa kubweka kama mbwa koko Watanganyika inafaa mutushukuru sana Wazazinbari kwa luwaletea ustarabu mulikuwa munakwenda uchi na kama huamini muulize babu yako kama unae kwa sababu watoto wa haramu muko wengi sana munazaliwa nje ya ndoa sasa kaulize hilo suala wala sio mbali kabla ya 1964 mulikuwa hali gani wabara ,hao mulokuwa mukivaa nguo basi kaniki ndio nguo zenu nakuoneni vinganganizi tu sisi ndio wabaguzi nyie je waungwana sana ?Wacha tupumue bana tumewachoka sana .Kwa nini Munangangania Zanzibar ?
 
Hizi bangi hizi,hivi hawakuona kilichowapata wale viongozi wa Catalonia walipotaka kujitenga na Spain,walitiwa ndani wote wakakimbia nchi,Tena wale walikuwa wabunge,sasa hawa waswahili wakawaida tutawaondoa mmoja mmoja
URITREA ilipoamua walipata wanachokitaka iko siku Zanzibar itaamua na watakipata wanachokipata tena very soon.
 
Yule akirudi Tanzania anatakiwa tumfurushe alichukua Waafrika utumwani
Wazanzibari sio waliofanya hayo munayoita mapinduzi mapinduzi mumeyafanya nye watwana wa bara .Soma kitabu KWAHERI UKOLONI .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…