Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Sawa ni wenye akili,Mara kadhaa nimeandika humu kuhusu Watanganyika na Wazanzibar.ukweli ni kwamba Wazanzibar ni wenye akili kuliko Watanganyika
Wazanzibari ni wazalendo kuliko Watanganyika
Utaifa ni jambo ambalo mataifa yote duniani huulinda kwa nguvu zote,hakuna taifa lenye watu wenye akili timamu wako tayali kuona utaifa wao unachezewa hovyo,hili tuna liona kwa mifano michache kupitia mataifa kadhaa mfano ni mgogoro wa Israel na Palestine. Ni mvutano wa uwepo na utetezi wa...www.jamiiforums.com
Kufaidika tu, na rasilimali zenu za nyinyi mlio wengi Watanganyika na zao kuwanufaisha wao ni akili kubwa.Sawa ni wenye akili,
Mambo gani makubwa wamefanya hapa duniani kuthibitisha kuwa ni wenye akili ?
Wazanzibar kama watoto tu...CHAKE NI CHAKE NA CHAKO NI CHAKE.**Kufaidika tu, na rasilimali zenu za nyinyi mlio wengi Watanganyika na zao kuwanufaisha wao ni akili kubwa.
Leo hii mnatawaliwa na Wazanzibar na wakati huo huo marufuku nyie kutawala kwao ni akili kubwa.
Nyie ni wake zetu tunawatunza ni wajibu wetu kuwalea ila mnajiona kama mnafaidikaKufaidika tu, na rasilimali zenu za nyinyi mlio wengi Watanganyika na zao kuwanufaisha wao ni akili kubwa.
Leo hii mnatawaliwa na Wazanzibar na wakati huo huo marufuku nyie kutawala kwao ni akili kubwa.
Bahati mbaya hakuna Serikali ya Tanganyika, taifa likirudi hizo sera zitafaa sana.serikali ya Tanganyika iige mfano huu na raia wote wa kigeni toka Zanzibar wazuiliwe kutumia barabara zetu bila kibali maalumu. Huenda tukapunguza matukio ya ajali za barabarani.
Kila Mzanzibari ni Mtanzania, ana haki zote za Utanzania ila sio kila Mtanzania ni Mzanzibari. Tanzania ni ya Watanzania wote ila Zanzibar sio ya wote kwa baadhi ya haki ni kwa Wanzanzibari wakaazi pekee.Kwanza nianze kwa kuipongeza serikali ya Zanzibar kwa kutuzuia Watanganyika kuendesha vyombo vya moto kwao bila kibali maalumu, yaani leseni ya udereva pekee haitoshi mpaka uwe na kibali chao.
Huu ni utaratibu mzuri, serikali ya Tanganyika iige mfano huu na raia wote wa kigeni toka Zanzibar wazuiliwe kutumia barabara zetu bila kibali maalumu. Huenda tukapunguza matukio ya ajali za barabarani.
Wazanzibari wenyewe wananyimwa haki kwa kigezo cha ukaazi. Kwamba haki za kiraia za kawaida tu zinapotea kama mtu si mkaazi. Hata leseni ya udereva.Zanzibar sio ya wote kwa baadhi ya haki ni kwa Wanzanzibari wakaazi pekee.
P
Acha kuwashwawashwa kila wakati wewe?Bado haujasema.
Uko sahihi mkuuMoja ya changamoto ni kuwa ofisi ya Serikali ya Tanganyika haijulikani ilipo.
Tuna serikali ya kusadikika tu. Sema kuna jambo limejificha kuhusu huu ujinga(muuangano)Moja ya changamoto ni kuwa ofisi ya Serikali ya Tanganyika haijulikani ilipo.
Mkuu yaani wala ulojo wana akili kuliko watanganyika [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Mara kadhaa nimeandika humu kuhusu Watanganyika na Wazanzibar.ukweli ni kwamba Wazanzibar ni wenye akili kuliko Watanganyika
Wazanzibari ni wazalendo kuliko Watanganyika
Utaifa ni jambo ambalo mataifa yote duniani huulinda kwa nguvu zote,hakuna taifa lenye watu wenye akili timamu wako tayali kuona utaifa wao unachezewa hovyo,hili tuna liona kwa mifano michache kupitia mataifa kadhaa mfano ni mgogoro wa Israel na Palestine. Ni mvutano wa uwepo na utetezi wa...www.jamiiforums.com
Binafsi huwa nawaona wote ni kama wana akili za kike. Pia huwa najiuliza kwanini huwa wananuka sana kuliko hata wanawake zaoSawa ni wenye akili,
Mambo gani makubwa wamefanya hapa duniani kuthibitisha kuwa ni wenye akili ?