sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
- #21
Zanzibar ni kwaoWaajiriwe kwao Zanzibar.
Tanzania ni kwao
Muungano una chungu sana huu ila huku kwenye ajira wacha vijana wajifutie machozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zanzibar ni kwaoWaajiriwe kwao Zanzibar.
Chuki ipi, tunaangalia hakiChuki chuki tu
Muungano una madhara zaidi kwetu Tanganyika kulikoo Zanzibar.Zanzibar ni kwao
Tanzania ni kwao
Muungano una chungu sana huu ila huku kwenye ajira wacha vijana wajifutie machozi
unajua hata hiyo mikopo yenyewe ni asilimia 8.5 tu ya mapato yote kwa mwaka nyie watu mnatakiwa mtuheshimu sana tunawafaanyia kazi huku bara na tunakatwa kodi inayowalisha hadi nyie visiwani endeleeni na ujinga wenu ...Gharama ya muungano lazima ilipwe kwa namna moja au nyingine.
Bara mnachukua mikopo ya kimataifa kwa niaba ya zanibar, mnaiwakilisha zanzibar kimataifa, n.k yani kuna vitu pia zanzibar inanyonywa vingi tu.
Hio gharama ni kubwa sana huwezi linganisha na hizi ajira asilimia 21 anazopewa mzanzibar kwa sasa, ikibidi ipngezwe iwe 30% ila kwa sasa wafanye iwe tu 25%.
Hakunaga cha bure mkuu, Msubiri kuwakuta wazanzibar kila idara kwa wingi
Muungano unaiumiza sana zanzibarMuungano una madhara zaidi kwetu Tanganyika kulikoo Zanzibar.
Mkae pembeni saizi tunakuja kuchukua asilimia zetu hizo 21 za ajira ambazo napo bado ni chache.unajua hata hiyo mikopo yenyewe ni asilimia 8.5 tu ya mapato yote kwa mwaka nyie watu mnatakiwa mtuheshimu sana tunawafaanyia kazi huku bara na tunakatwa kodi inayowalisha hadi nyie visiwani endeleeni na ujinga wenu ...
Tanganyika ina watu 60m+,Sasa nilikuwa naona ni bora zanzibar waanze kupewa ajira za huku bara walau asilimia 25 za ajira maana hata ajira zimekuwa zikitangazwa mara chache, basi zinapotangazwa wachukuluwe wazanzibar 25% na sio 21%
Mfano zikitangazwa ajira za Tra, Bot, Nssf, Bandarini, Pccb, n.k basi katika kila watu 100 kuwepo na wazanzibar 25 na sio 21,
Hayo mambo ya wingi wa watu labda kwenye mikoa ya Nchi, hapa hatuzungumzii mkoa bali nchi...Tanganyika ina watu 60m+,
Znz ina 1,3m
Hizo 21% wanazopewa sasa tayari ni nyingi mno, ukikokotoa uwiano (ratio) ilitakiwa wapate chini ya 1%.
Huu unyonyaji kuna siku watanganyika wataushtukia
badae watafanywa kama wasukuma!! kutesa kwa zamuGharama ya muungano lazima ilipwe kwa namna moja au nyingine.
Bara mnachukua mikopo ya kimataifa kwa niaba ya zanibar, mnaiwakilisha zanzibar kimataifa, n.k yani kuna vitu pia zanzibar inanyonywa vingi tu.
Hio gharama ni kubwa sana huwezi linganisha na hizi ajira asilimia 21 anazopewa mzanzibar kwa sasa, ikibidi ipngezwe iwe 30% ila kwa sasa wafanye iwe tu 25%.
Hakunaga cha bure mkuu, Msubiri kuwakuta wazanzibar kila idara kwa wingi
Toa huu upuuzi wakoSasa nilikuwa naona ni bora zanzibar waanze kupewa ajira za huku bara walau asilimia 25 za ajira maana hata ajira zimekuwa zikitangazwa mara chache, basi zinapotangazwa wachukuluwe wazanzibar 25% na sio 21%
Mfano zikitangazwa ajira za Tra, Bot, Nssf, Bandarini, Pccb, n.k basi katika kila watu 100 kuwepo na wazanzibar 25 na sio 21
Ruhusuni kwanza Watanganyika wamiliki ardhi Zanzibar sababu hizi nchi zimeungana na kuwa mojaHio population sio kigezo, Kigezo ni nchi 2 kuungana,
wazanzibar walikuwa wachache kidogo kwenye mashirika kwasababu wengi walifeli form 4, siku hizi kufaulu form 4 na 6 limekuwa jambo la kawaida, Vijana wa kizanzibari nao naona ni wakati wao waanze kufaidi tam tam za mishahara.
Ufaulu ulikuwa ni kikwazo kikubwa ila kwa sasa ni history
Kwani Mwinyi kawaambiaje? Na kama ni suala la nchi basi muajiriwe nchini kwenu!Hayo mambo ya population mtaongea ninyi, Vijana wa kizanzibar saizi wengi wana sifa za ajira kwasababu ufaulu umeongezeka tangu 2019, Ni muda wa vijana nao waanza kuonja tam tam kidogo ya muungano,
huko kwenu mnaajiri wabara? tena wakristu?Mkae pembeni saizi tunakuja kuchukua asilimia zetu hizo 21 za ajira ambazo napo bado ni chache.
Huku kwenye ajira wazanzibari nao wajae jae kidogo,
Muungano ni wa kinyonyaji ila huku kwenye ajira mtulie hivyo hivyo dawa iwaingie maana zanzibar akitaka kujitegemea hamtaki.
Nitajie majina ya watanganyika waloajiriwa katika serikali ya mapinduzi ya Zanzibar! Ni wangapi Kama hutojua majina Yao!Sasa wewe ulitaka iweje, Apewe mtanganyika??
Hapana aisee huu ni muungano,
Zamani, kama nikivyoandika ufaulu ulikuwa mdogo sana aisee, hata wenye ufaulu mdogo hao hapo ilibidi waiqakilishe zanzibar na hata hivyo bado walikuwa wachache.
Umetumia kigezo cha ufaulu pekee?Hio population sio kigezo, Kigezo ni nchi 2 kuungana,
wazanzibar walikuwa wachache kidogo kwenye mashirika kwasababu wengi walifeli form 4, siku hizi kufaulu form 4 na 6 limekuwa jambo la kawaida, Vijana wa kizanzibari nao naona ni wakati wao waanze kufaidi tam tam za mishahara.
Ufaulu ulikuwa ni kikwazo kikubwa ila kwa sasa ni history
Umeshasema serikali ya zanzibar.Nitajie majina ya watanganyika waloajiriwa katika serikali ya mapinduzi ya Zanzibar! Ni wangapi Kama hutojua majina Yao!