Wazanzibar wengi wameanza kuwa na sifa za kuajirika, wapewe 25% za nafasi za ajira na sio 21%

Umeshasema serikali ya zanzibar.

Serikali ya zanzibar ni kwajili ya wazanziba

serikali ya tz nikwajili ya tanganyika na zanzibar
Yaani chako ni chako na changu ni chetu! Utasubiri Sana hili kufanyika!
 
kwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la ufaulu basi zanzibar ilikuwa ikishika mara kwa mara namba za mwisho, wazanzibar wengi walikuwa wanafeli kupita maelezo.

Ila kuanzia miaka ya 2018 matokeo ni mazuri mno kote Bara na zanzibar, Sikuhizi ufaulu umeongezeka mno, Ni kawaida sama kukuta darasa halina division 0 na 4, hata zikiwepo basi za kumulika kwa tpchi.

Ufaulu huu unaashiria kwamba sasa wazanzibari wengi wameanza kujaa vyuoni ili kusomea taaluma mbali mbali na kuhitimu huku wakiwa na sifa za kupata ajira katika fani kama uhandisi, udaktari, uhasibu, tehama, ualimu, n.k. Mimi ni shuhuda nmeona wazanzibar kibao sikuhizi katika vyuo vya huku bara, hususan kuanzia 2019.

miaka ya nyuma wazanzibari wengi sana walikuwa wanapata divisioni 0 na 4 nyingi sana kuliko mkoa wowote Tanzania, wengi wakawa hawana sifa za ajira, Walippata hizo division 4 wengi ndio hawa mnawaona polisi, jkt, jwtz, n.k

Sasa nilikuwa naona ni bora zanzibar waanze kupewa ajira za huku bara walau asilimia 25 za ajira maana hata ajira zimekuwa zikitangazwa mara chache, basi zinapotangazwa wachukuluwe wazanzibar 25% na sio 21%

Mfano zikitangazwa ajira za Tra, Bot, Nssf, Bandarini, Pccb, n.k basi katika kila watu 100 kuwepo na wazanzibar 25 na sio 21,

Asanteni sana,
Kwamba wazanzibar wapo wangap kwanza kwa mujibu wa sensa ya 2012??
 
Zanzibar sio mkoa mkuu, ni Nchi, kuwa na heshima mbele ya muungano
Kama vipi chukueni nchi yenu, msitusimbue na mambo yenu mara muungano mara mmeanza kufaulu, sijui nani kauliza kwanza kama mnafaulu😐😐
 
kwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la ufaulu basi zanzibar ilikuwa ikishika mara kwa mara namba za mwisho, wazanzibar wengi walikuwa wanafeli kupita maelezo.

Ila kuanzia miaka ya 2018 matokeo ni mazuri mno kote Bara na zanzibar, Sikuhizi ufaulu umeongezeka mno, Ni kawaida sama kukuta darasa halina division 0 na 4, hata zikiwepo basi za kumulika kwa tpchi.

Ufaulu huu unaashiria kwamba sasa wazanzibari wengi wameanza kujaa vyuoni ili kusomea taaluma mbali mbali na kuhitimu huku wakiwa na sifa za kupata ajira katika fani kama uhandisi, udaktari, uhasibu, tehama, ualimu, n.k. Mimi ni shuhuda nmeona wazanzibar kibao sikuhizi katika vyuo vya huku bara, hususan kuanzia 2019.

miaka ya nyuma wazanzibari wengi sana walikuwa wanapata divisioni 0 na 4 nyingi sana kuliko mkoa wowote Tanzania, wengi wakawa hawana sifa za ajira, Walippata hizo division 4 wengi ndio hawa mnawaona polisi, jkt, jwtz, n.k

Sasa nilikuwa naona ni bora zanzibar waanze kupewa ajira za huku bara walau asilimia 25 za ajira maana hata ajira zimekuwa zikitangazwa mara chache, basi zinapotangazwa wachukuluwe wazanzibar 25% na sio 21%

Mfano zikitangazwa ajira za Tra, Bot, Nssf, Bandarini, Pccb, n.k basi katika kila watu 100 kuwepo na wazanzibar 25 na sio 21,

Asanteni sana,
Huyu mama atauvunja muungano kwa upendeleo wa uzanzibari na Udini wake. Wazanzibari hawapaswi kuajiriwa kwenye sector zisizo za muungano kwani wana serikali yao ya kupinduana
 
Hivi Shinyanga Na Zanzibar ipi kubwa??? Shinyanga inapata % ngapi ya ajira?
 
Huu muungano Ni failure ya Karne .Mimi naona options zipo 3 Za kuchagua.
1.Serikali ziwe 3 Na tupunguze mambo tunayochangia kwenye muungano
2.Serikali iwe 1 Na Zanzibar iwe kama mkoa wa Tanzania (full assimilation) kama USA
3.Tuvunje muungano Kila mtu ajitegemee
 
Huyu mama atauvunja muungano kwa upendeleo wa uzanzibari na Udini wake. Wazanzibari hawapaswi kuajiriwa kwenye sector zisizo za muungano kwani wana serikali yao ya kupinduana
shirika au taasisi yoyote lenye neno Tanzania ni la muungano kuanzia polisi, jwtz, tra, bandari, bot, vyuo, n.k

Haya mambo msimguse mama, yameanza tangu enzi za Nyerere
 
Mbona jeshi la magereza na fire sio la muungano??
 
Mimi naona 25% aitoshi, maana zanzibar ni dola kamili. Kwaio inabidi iwe 50% kwa Watanganyika na 50% kwa wazanzibar maana saizi tuna wanyonya ndugu zetu.

Huu Muungano sijui walio uweka walikua wanawaza nini ??????

Kwanini walishindwa kufuta izi tofauti za kimtazamo mpaka watu wanajita Wazanzibari badala ya mtanzania??????

Mimi maomi yangu kama zaidi ya miaka 50 tumeshindwa kuondoa utafauti wetu ni bora kila mtu apambane na hali yake au muundo wa Muungano upitiwe upya.

Kwenye huo Muundo mpya wa Muungano, watakao tuwakilisha Watanganyika wasirudie makosa tena. Ni bora kuuvunja kabisa kuliko kurudia makosa.
 
kwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la ufaulu basi zanzibar ilikuwa ikishika mara kwa mara namba za mwisho, wazanzibar wengi walikuwa wanafeli kupita maelezo.

Ila kuanzia miaka ya 2018 matokeo ni mazuri mno kote Bara na zanzibar, Sikuhizi ufaulu umeongezeka mno, Ni kawaida sama kukuta darasa halina division 0 na 4, hata zikiwepo basi za kumulika kwa tpchi.

Ufaulu huu unaashiria kwamba sasa wazanzibari wengi wameanza kujaa vyuoni ili kusomea taaluma mbali mbali na kuhitimu huku wakiwa na sifa za kupata ajira katika fani kama uhandisi, udaktari, uhasibu, tehama, ualimu, n.k. Mimi ni shuhuda nmeona wazanzibar kibao sikuhizi katika vyuo vya huku bara, hususan kuanzia 2019.

miaka ya nyuma wazanzibari wengi sana walikuwa wanapata divisioni 0 na 4 nyingi sana kuliko mkoa wowote Tanzania, wengi wakawa hawana sifa za ajira, Walippata hizo division 4 wengi ndio hawa mnawaona polisi, jkt, jwtz, n.k

Sasa nilikuwa naona ni bora zanzibar waanze kupewa ajira za huku bara walau asilimia 25 za ajira maana hata ajira zimekuwa zikitangazwa mara chache, basi zinapotangazwa wachukuluwe wazanzibar 25% na sio 21%

Mfano zikitangazwa ajira za Tra, Bot, Nssf, Bandarini, Pccb, n.k basi katika kila watu 100 kuwepo na wazanzibar 25 na sio 21,

Asanteni sana,
Hivi wewe una akili gani. Idadi ya watu zanzibar ni kama aslimia 2 ya raia wa tanzania sasa ni ujinga gani unaleta eti wapewe asilimia 25 ya ajira? Peleka ujinga wako huko. Wanzanzibari kwa hakika wasipewe upendeleo wowote wa ajira kwenye serikali ya muungano labda tu kwa zile wizara za muungano. Nako huko nafasi zao zisizidi asilimia 3 tena wapewe kwa sifa za weledi zinazotakiwa.
Kwa upande mwingine utaona serikali ya mapinduzi hawako tayari kumuajiri mtanzania bara yeyote. Kuliko kumuajiri mbara wako tayari kumleta mtu toka uarabuni au nchi jirani. Tungetegemea kama kuna utaalam uko bara zanzibar hawana waanze kutoa nafasi kwa ndugu zao bara. Unakuta znz kuna shortage ya waalim lakini wako tayari kuendelea na shida hiyo kuliko kuajiri waalim toka bara.
Tusisahau pia zanzibar iko over represented kisiasa kwenye muungano. Muungano usije kua sababu ya kuwapunguzia wabara haki zao.
 
kwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la ufaulu basi zanzibar ilikuwa ikishika mara kwa mara namba za mwisho, wazanzibar wengi walikuwa wanafeli kupita maelezo.

Ila kuanzia miaka ya 2018 matokeo ni mazuri mno kote Bara na zanzibar, Sikuhizi ufaulu umeongezeka mno, Ni kawaida sama kukuta darasa halina division 0 na 4, hata zikiwepo basi za kumulika kwa tpchi.

Ufaulu huu unaashiria kwamba sasa wazanzibari wengi wameanza kujaa vyuoni ili kusomea taaluma mbali mbali na kuhitimu huku wakiwa na sifa za kupata ajira katika fani kama uhandisi, udaktari, uhasibu, tehama, ualimu, n.k. Mimi ni shuhuda nmeona wazanzibar kibao sikuhizi katika vyuo vya huku bara, hususan kuanzia 2019.

miaka ya nyuma wazanzibari wengi sana walikuwa wanapata divisioni 0 na 4 nyingi sana kuliko mkoa wowote Tanzania, wengi wakawa hawana sifa za ajira, Walippata hizo division 4 wengi ndio hawa mnawaona polisi, jkt, jwtz, n.k

Sasa nilikuwa naona ni bora zanzibar waanze kupewa ajira za huku bara walau asilimia 25 za ajira maana hata ajira zimekuwa zikitangazwa mara chache, basi zinapotangazwa wachukuluwe wazanzibar 25% na sio 21%

Mfano zikitangazwa ajira za Tra, Bot, Nssf, Bandarini, Pccb, n.k basi katika kila watu 100 kuwepo na wazanzibar 25 na sio 21,

Asanteni sana,
Watanzania tupo million 62 kati ya hao Wazanzibari ni kama million 2. Wachaguliwe watu wenye sifa za kujaza hizo nafasi siyo kwa kigezo cha ukabila.
 
Mimi naona 25% aitishi, maana zanzibar ni dola kamili. Kwaio inabidi uwe 50% kwa Watanganyika na 50% kwa wazanzibar maana saizi tuna wanyonya ndugu zetu.

Huu Muungano sijui walio uweka walikua wanawaza nini ??????

Kwanini walishindwa kufuta izi tofauti za kimtazamo mpaka watu wanajita Wazanzibari badala ya mtanzania??????

Mimi maomi yangu kama zaidi ya miaka 50 tumeshindwa kuondoa utafauti wetu ni bora kila mtu apambane na hali yake au muundo wa Muungano upitiwe upya.

Kwenye huo Muundo mpya wa Muungano, watakao tuwakilisha Watanganyika wasirudie makosa tena. Ni bora kuuvunja kabisa kuliko kurudia makosa.
Zanzibar sio Dola kamili.Dola kamili haina sovereignity.
 
Huko nyuma ilikuwa vigumu sana kumpata mzanzibari aajiriwe bara kwa kisingizio Cha nasimamia biashara za familia na sitaki kwenda kuharibika Tanzania bara

Wanzanzibar karibuni mje kuharibika Tanzania bara kupitia hizo ajira na karibuni muue Mila na Tamaduni zenu Tanzania bara

Biashara zenu za familia zitakosa weledi na damu changa kizazi Cha wazanzibari wafanyabiashara kinaanza kupungua kwa kuanza kujitosa kwenye ajira
 
Back
Top Bottom