Yaani chako ni chako na changu ni chetu! Utasubiri Sana hili kufanyika!Umeshasema serikali ya zanzibar.
Serikali ya zanzibar ni kwajili ya wazanziba
serikali ya tz nikwajili ya tanganyika na zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani chako ni chako na changu ni chetu! Utasubiri Sana hili kufanyika!Umeshasema serikali ya zanzibar.
Serikali ya zanzibar ni kwajili ya wazanziba
serikali ya tz nikwajili ya tanganyika na zanzibar
hizi 21% hazitoshi,Yaani chako ni chako na changu ni chetu! Utasubiri Sana hili kufanyika!
Kwamba wazanzibar wapo wangap kwanza kwa mujibu wa sensa ya 2012??kwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la ufaulu basi zanzibar ilikuwa ikishika mara kwa mara namba za mwisho, wazanzibar wengi walikuwa wanafeli kupita maelezo.
Ila kuanzia miaka ya 2018 matokeo ni mazuri mno kote Bara na zanzibar, Sikuhizi ufaulu umeongezeka mno, Ni kawaida sama kukuta darasa halina division 0 na 4, hata zikiwepo basi za kumulika kwa tpchi.
Ufaulu huu unaashiria kwamba sasa wazanzibari wengi wameanza kujaa vyuoni ili kusomea taaluma mbali mbali na kuhitimu huku wakiwa na sifa za kupata ajira katika fani kama uhandisi, udaktari, uhasibu, tehama, ualimu, n.k. Mimi ni shuhuda nmeona wazanzibar kibao sikuhizi katika vyuo vya huku bara, hususan kuanzia 2019.
miaka ya nyuma wazanzibari wengi sana walikuwa wanapata divisioni 0 na 4 nyingi sana kuliko mkoa wowote Tanzania, wengi wakawa hawana sifa za ajira, Walippata hizo division 4 wengi ndio hawa mnawaona polisi, jkt, jwtz, n.k
Sasa nilikuwa naona ni bora zanzibar waanze kupewa ajira za huku bara walau asilimia 25 za ajira maana hata ajira zimekuwa zikitangazwa mara chache, basi zinapotangazwa wachukuluwe wazanzibar 25% na sio 21%
Mfano zikitangazwa ajira za Tra, Bot, Nssf, Bandarini, Pccb, n.k basi katika kila watu 100 kuwepo na wazanzibar 25 na sio 21,
Asanteni sana,
Kama vipi chukueni nchi yenu, msitusimbue na mambo yenu mara muungano mara mmeanza kufaulu, sijui nani kauliza kwanza kama mnafaulu😐😐Zanzibar sio mkoa mkuu, ni Nchi, kuwa na heshima mbele ya muungano
Huyu mama atauvunja muungano kwa upendeleo wa uzanzibari na Udini wake. Wazanzibari hawapaswi kuajiriwa kwenye sector zisizo za muungano kwani wana serikali yao ya kupinduanakwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la ufaulu basi zanzibar ilikuwa ikishika mara kwa mara namba za mwisho, wazanzibar wengi walikuwa wanafeli kupita maelezo.
Ila kuanzia miaka ya 2018 matokeo ni mazuri mno kote Bara na zanzibar, Sikuhizi ufaulu umeongezeka mno, Ni kawaida sama kukuta darasa halina division 0 na 4, hata zikiwepo basi za kumulika kwa tpchi.
Ufaulu huu unaashiria kwamba sasa wazanzibari wengi wameanza kujaa vyuoni ili kusomea taaluma mbali mbali na kuhitimu huku wakiwa na sifa za kupata ajira katika fani kama uhandisi, udaktari, uhasibu, tehama, ualimu, n.k. Mimi ni shuhuda nmeona wazanzibar kibao sikuhizi katika vyuo vya huku bara, hususan kuanzia 2019.
miaka ya nyuma wazanzibari wengi sana walikuwa wanapata divisioni 0 na 4 nyingi sana kuliko mkoa wowote Tanzania, wengi wakawa hawana sifa za ajira, Walippata hizo division 4 wengi ndio hawa mnawaona polisi, jkt, jwtz, n.k
Sasa nilikuwa naona ni bora zanzibar waanze kupewa ajira za huku bara walau asilimia 25 za ajira maana hata ajira zimekuwa zikitangazwa mara chache, basi zinapotangazwa wachukuluwe wazanzibar 25% na sio 21%
Mfano zikitangazwa ajira za Tra, Bot, Nssf, Bandarini, Pccb, n.k basi katika kila watu 100 kuwepo na wazanzibar 25 na sio 21,
Asanteni sana,
shirika au taasisi yoyote lenye neno Tanzania ni la muungano kuanzia polisi, jwtz, tra, bandari, bot, vyuo, n.kHuyu mama atauvunja muungano kwa upendeleo wa uzanzibari na Udini wake. Wazanzibari hawapaswi kuajiriwa kwenye sector zisizo za muungano kwani wana serikali yao ya kupinduana
Shinyanga haina raisi wala serikali,Hivi Shinyanga Na Zanzibar ipi kubwa??? Shinyanga inapata % ngapi ya ajira?
Kwa Hyo raia wake hawana haki ya kuajiiwa kama wazanzibari?Shinyanga haina raisi wala serikali,
Mbona jeshi la magereza na fire sio la muungano??shirika au taasisi yoyote lenye neno Tanzania ni la muungano kuanzia polisi, jwtz, tra, bandari, bot, vyuo, n.k
Haya mambo msimguse mama, yameanza tangu enzi za Nyerere
Na anaweza akawa hata sio mzanzibar sema tu ameamua kuonesha mapungufu makubwa yaliyopo kwe muungano wetuMto hoja ana Umama mwingi
Hivi wewe una akili gani. Idadi ya watu zanzibar ni kama aslimia 2 ya raia wa tanzania sasa ni ujinga gani unaleta eti wapewe asilimia 25 ya ajira? Peleka ujinga wako huko. Wanzanzibari kwa hakika wasipewe upendeleo wowote wa ajira kwenye serikali ya muungano labda tu kwa zile wizara za muungano. Nako huko nafasi zao zisizidi asilimia 3 tena wapewe kwa sifa za weledi zinazotakiwa.kwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la ufaulu basi zanzibar ilikuwa ikishika mara kwa mara namba za mwisho, wazanzibar wengi walikuwa wanafeli kupita maelezo.
Ila kuanzia miaka ya 2018 matokeo ni mazuri mno kote Bara na zanzibar, Sikuhizi ufaulu umeongezeka mno, Ni kawaida sama kukuta darasa halina division 0 na 4, hata zikiwepo basi za kumulika kwa tpchi.
Ufaulu huu unaashiria kwamba sasa wazanzibari wengi wameanza kujaa vyuoni ili kusomea taaluma mbali mbali na kuhitimu huku wakiwa na sifa za kupata ajira katika fani kama uhandisi, udaktari, uhasibu, tehama, ualimu, n.k. Mimi ni shuhuda nmeona wazanzibar kibao sikuhizi katika vyuo vya huku bara, hususan kuanzia 2019.
miaka ya nyuma wazanzibari wengi sana walikuwa wanapata divisioni 0 na 4 nyingi sana kuliko mkoa wowote Tanzania, wengi wakawa hawana sifa za ajira, Walippata hizo division 4 wengi ndio hawa mnawaona polisi, jkt, jwtz, n.k
Sasa nilikuwa naona ni bora zanzibar waanze kupewa ajira za huku bara walau asilimia 25 za ajira maana hata ajira zimekuwa zikitangazwa mara chache, basi zinapotangazwa wachukuluwe wazanzibar 25% na sio 21%
Mfano zikitangazwa ajira za Tra, Bot, Nssf, Bandarini, Pccb, n.k basi katika kila watu 100 kuwepo na wazanzibar 25 na sio 21,
Asanteni sana,
Kwahiyo Kama ni nchi lazima wapewe kila kituZanzibar sio mkoa mkuu, ni Nchi, kuwa na heshima mbele ya muungano
Watanzania tupo million 62 kati ya hao Wazanzibari ni kama million 2. Wachaguliwe watu wenye sifa za kujaza hizo nafasi siyo kwa kigezo cha ukabila.kwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la ufaulu basi zanzibar ilikuwa ikishika mara kwa mara namba za mwisho, wazanzibar wengi walikuwa wanafeli kupita maelezo.
Ila kuanzia miaka ya 2018 matokeo ni mazuri mno kote Bara na zanzibar, Sikuhizi ufaulu umeongezeka mno, Ni kawaida sama kukuta darasa halina division 0 na 4, hata zikiwepo basi za kumulika kwa tpchi.
Ufaulu huu unaashiria kwamba sasa wazanzibari wengi wameanza kujaa vyuoni ili kusomea taaluma mbali mbali na kuhitimu huku wakiwa na sifa za kupata ajira katika fani kama uhandisi, udaktari, uhasibu, tehama, ualimu, n.k. Mimi ni shuhuda nmeona wazanzibar kibao sikuhizi katika vyuo vya huku bara, hususan kuanzia 2019.
miaka ya nyuma wazanzibari wengi sana walikuwa wanapata divisioni 0 na 4 nyingi sana kuliko mkoa wowote Tanzania, wengi wakawa hawana sifa za ajira, Walippata hizo division 4 wengi ndio hawa mnawaona polisi, jkt, jwtz, n.k
Sasa nilikuwa naona ni bora zanzibar waanze kupewa ajira za huku bara walau asilimia 25 za ajira maana hata ajira zimekuwa zikitangazwa mara chache, basi zinapotangazwa wachukuluwe wazanzibar 25% na sio 21%
Mfano zikitangazwa ajira za Tra, Bot, Nssf, Bandarini, Pccb, n.k basi katika kila watu 100 kuwepo na wazanzibar 25 na sio 21,
Asanteni sana,
Zanzibar sio Dola kamili.Dola kamili haina sovereignity.Mimi naona 25% aitishi, maana zanzibar ni dola kamili. Kwaio inabidi uwe 50% kwa Watanganyika na 50% kwa wazanzibar maana saizi tuna wanyonya ndugu zetu.
Huu Muungano sijui walio uweka walikua wanawaza nini ??????
Kwanini walishindwa kufuta izi tofauti za kimtazamo mpaka watu wanajita Wazanzibari badala ya mtanzania??????
Mimi maomi yangu kama zaidi ya miaka 50 tumeshindwa kuondoa utafauti wetu ni bora kila mtu apambane na hali yake au muundo wa Muungano upitiwe upya.
Kwenye huo Muundo mpya wa Muungano, watakao tuwakilisha Watanganyika wasirudie makosa tena. Ni bora kuuvunja kabisa kuliko kurudia makosa.