Wazanzibar wengi wameanza kuwa na sifa za kuajirika, wapewe 25% za nafasi za ajira na sio 21%

Yale mapinduzi haramu ndiyo yaliharibu elimu ya Zanzibar. Zamani elimu ya Zanzibar ilikuwa nzuri na ni ya bure. Ndiyo maana hata yule Abdulrazak Gurnah aliyepata tuzo la Nobel alipata elimu ya msingi Zanzibar. Msingi huo ndiyo ulimfanya awe msomi mpaka hapo alipofika na kupata Phd.
 
unajua hata hiyo mikopo yenyewe ni asilimia 8.5 tu ya mapato yote kwa mwaka nyie watu mnatakiwa mtuheshimu sana tunawafaanyia kazi huku bara na tunakatwa kodi inayowalisha hadi nyie visiwani endeleeni na ujinga wenu ...
 
unajua hata hiyo mikopo yenyewe ni asilimia 8.5 tu ya mapato yote kwa mwaka nyie watu mnatakiwa mtuheshimu sana tunawafaanyia kazi huku bara na tunakatwa kodi inayowalisha hadi nyie visiwani endeleeni na ujinga wenu ...
Mkae pembeni saizi tunakuja kuchukua asilimia zetu hizo 21 za ajira ambazo napo bado ni chache.

Huku kwenye ajira wazanzibari nao wajae jae kidogo,

Muungano ni wa kinyonyaji ila huku kwenye ajira mtulie hivyo hivyo dawa iwaingie maana zanzibar akitaka kujitegemea hamtaki.
 
Tanganyika ina watu 60m+,
Znz ina 1,3m

Hizo 21% wanazopewa sasa tayari ni nyingi mno, ukikokotoa uwiano (ratio) ilitakiwa wapate chini ya 1%.

Huu unyonyaji kuna siku watanganyika wataushtukia
 
Tanganyika ina watu 60m+,
Znz ina 1,3m

Hizo 21% wanazopewa sasa tayari ni nyingi mno, ukikokotoa uwiano (ratio) ilitakiwa wapate chini ya 1%.

Huu unyonyaji kuna siku watanganyika wataushtukia
Hayo mambo ya wingi wa watu labda kwenye mikoa ya Nchi, hapa hatuzungumzii mkoa bali nchi...

Na hizo 21% hata hatukuzifikia kwasababu ya wengi kufeli mitihani ya form 4 na 6 hapo zamani na kushindwa kwenda vyuoni, Ila kwa sasa zitajazika tu.

Ukienda Tra, bandarini, nssf, pccb, tabroads, n.k wazanzibar ni wachache kwasababu zamani ufaulu ulikuwa mdogo, Kwa sasa nadhani watajazana mara tano zaidi maana vijana wana sifa.

Muungano wa kinyonyaji sana kwa zanzibar ila huku kwenye ajira wacha tuchukue chetu,
 
Kwani tukiuvynja kuna hasara gani?. Kama kuna kitu nyerere alishindwa ni kuondoa uzanzibar. Angetufanya kuwa Watanzania. Huku bara hii identity iliondoka lakini Uzanzibar ulibaki. This is a big mistake! Huwezi kuwapa 2M:59M 25% to75%. Huo unaitwa Uzwazwa. Let's go blindless on this issue.
 
badae watafanywa kama wasukuma!! kutesa kwa zamu
 
Toa huu upuuzi wako

Kasehemu ambako hata population yake haifiki asilimia 4 ya watu wote waliopo Tanzania kapewe asilimia 25?
 
Ruhusuni kwanza Watanganyika wamiliki ardhi Zanzibar sababu hizi nchi zimeungana na kuwa moja
 
Hayo mambo ya population mtaongea ninyi, Vijana wa kizanzibar saizi wengi wana sifa za ajira kwasababu ufaulu umeongezeka tangu 2019, Ni muda wa vijana nao waanza kuonja tam tam kidogo ya muungano,
Kwani Mwinyi kawaambiaje? Na kama ni suala la nchi basi muajiriwe nchini kwenu!
 
huko kwenu mnaajiri wabara? tena wakristu?
 
Sasa wewe ulitaka iweje, Apewe mtanganyika??

Hapana aisee huu ni muungano,

Zamani, kama nikivyoandika ufaulu ulikuwa mdogo sana aisee, hata wenye ufaulu mdogo hao hapo ilibidi waiqakilishe zanzibar na hata hivyo bado walikuwa wachache.
Nitajie majina ya watanganyika waloajiriwa katika serikali ya mapinduzi ya Zanzibar! Ni wangapi Kama hutojua majina Yao!
 
Umetumia kigezo cha ufaulu pekee?

!

!

Zanzibar ufaulu umeongezeka hivyo wanapaswa kuongezewa asilimia ya wanufaika wa ajira za Muungano.


Bara ufaulu umepungua hivyo, wanapaswa kupungua pia katika asilimia za wanufaika wa ajira za Muungano.

Kwanini tusitumie kigezo cha 'uwiano wa watu' ili kuondoa hisia za upendeleo badala ya 'ufaulu'?
 
Zanzibar ni kama mkoa tu, kuwapa hiyo 25% ni matumizi mabaya
 
Nitajie majina ya watanganyika waloajiriwa katika serikali ya mapinduzi ya Zanzibar! Ni wangapi Kama hutojua majina Yao!
Umeshasema serikali ya zanzibar.

Serikali ya zanzibar ni kwajili ya wazanziba

serikali ya tz nikwajili ya tanganyika na zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…