Kwenye vyeo vya wakurugenzi wa taasisi, mashirika, n.k. unaweza kuwakuta wazanzibari wawili tu kati ya 10.
Mfano kuna mabalozi 9 tu kati ya 45
Mawaziri wapo wachache
Kwenye nafasi za ajira haitoshi kabisa kuna tetesi hupewa 2 kati ya 10, bado ni chach sana hizi, at least ziwe 4
nitoe pongezi za dhati kwa wizara ya elimu na Necta, Hapo zamani kulikuwa na changamoto kubwa ya ufaulu Zanzibar na baadhi ya mikoa ya bara, hii ilichangia sana wazanzibar na watu wa baadhi ya mikoa ya bara wasifike vyuoni na kukosa sifa za ajira.
Lakini Kwa hali ya sasa ufaulu umeongezeka sana Tanzania nziima (Bara na Zanzibar), mfano matokeo ya mwaka jana form 6 ni ngumu kukuta division 4 na 0, hivyo wazanzibar wengi wataweza kwenda vyuoni na wakihitimu wataweza kujaa zaidi kwenye ofisi za bara na vyeo, hali hii ikiendelea hadi 2050 tunaweza kufika pazuri zaidi itapendeza kuona wazanzibari wakiwa wanne kati ya 10 kwenye ofisi kubwa / vyeo vya Tanzania