Wazanzibari bado ni wachache kwenye vyeo muhimu Tanzania, waongezwe wafike at least 30%

Kwenye vyeo vya wakurugenzi wa taasisi, mashirika, n.k. unaweza kuwakuta wazanzibari wawili tu kati ya 10.

Mfano kuna mabalozi 9 tu kati ya 45

Mawaziri wapo wachache

Kwenye nafasi za ajira haitoshi kabisa kuna tetesi hupewa 2 kati ya 10, bado ni chach sana hizi, at least ziwe 4

nitoe pongezi za dhati kwa wizara ya elimu na Necta, Hapo zamani kulikuwa na changamoto kubwa ya ufaulu Zanzibar na baadhi ya mikoa ya bara, hii ilichangia sana wazanzibar na watu wa baadhi ya mikoa ya bara wasifike vyuoni na kukosa sifa za ajira.

Lakini Kwa hali ya sasa ufaulu umeongezeka sana Tanzania nziima (Bara na Zanzibar), mfano matokeo ya mwaka jana form 6 ni ngumu kukuta division 4 na 0, hivyo wazanzibar wengi wataweza kwenda vyuoni na wakihitimu wataweza kujaa zaidi kwenye ofisi za bara na vyeo, hali hii ikiendelea hadi 2050 tunaweza kufika pazuri zaidi itapendeza kuona wazanzibari wakiwa wanne kati ya 10 kwenye ofisi kubwa / vyeo vya Tanzania
Wazanzibari ni asilimia ngapi ya Watanzania? Wazanzibari wanapendelewa sana na huu muungano, wao wanaweza kuteuliwa kwenye nafasi yoyote ya uongozi Tanzania wakati Watanganyika hawawezi katu, asilani, abadani kushika nafasi ya uongozi wa Zanzibar.

Vv
 
Idadi ya wa Zanzibar haizidi idadi ya watu kwenye manispaa ya ilala. Kwa hiyo unataka Watanganyika Milioni zaidi ya 60 tuongozwe na wachache? 🤔
 
Kwenye vyeo vya wakurugenzi wa taasisi, mashirika, n.k. unaweza kuwakuta wazanzibari wawili tu kati ya 10.

Mfano kuna mabalozi 9 tu kati ya 45

Mawaziri wapo wachache

Kwenye nafasi za ajira haitoshi kabisa kuna tetesi hupewa 2 kati ya 10, bado ni chach sana hizi, at least ziwe 4

nitoe pongezi za dhati kwa wizara ya elimu na Necta, Hapo zamani kulikuwa na changamoto kubwa ya ufaulu Zanzibar na baadhi ya mikoa ya bara, hii ilichangia sana wazanzibar na watu wa baadhi ya mikoa ya bara wasifike vyuoni na kukosa sifa za ajira.

Lakini Kwa hali ya sasa ufaulu umeongezeka sana Tanzania nziima (Bara na Zanzibar), mfano matokeo ya mwaka jana form 6 ni ngumu kukuta division 4 na 0, hivyo wazanzibar wengi wataweza kwenda vyuoni na wakihitimu wataweza kujaa zaidi kwenye ofisi za bara na vyeo, hali hii ikiendelea hadi 2050 tunaweza kufika pazuri zaidi itapendeza kuona wazanzibari wakiwa wanne kati ya 10 kwenye ofisi kubwa / vyeo vya Tanzania
kawilaya kenye watu chini ya miliono, unataka kashindane na nchi yenye watu miliono 60. mmeota mapembe sana ninyi wala urojo.
 
Kwenye vyeo vya wakurugenzi wa taasisi, mashirika, n.k. unaweza kuwakuta wazanzibari wawili tu kati ya 10.

Mfano kuna mabalozi 9 tu kati ya 45

Mawaziri wapo wachache

Kwenye nafasi za ajira haitoshi kabisa kuna tetesi hupewa 2 kati ya 10, bado ni chach sana hizi, at least ziwe 4

nitoe pongezi za dhati kwa wizara ya elimu na Necta, Hapo zamani kulikuwa na changamoto kubwa ya ufaulu Zanzibar na baadhi ya mikoa ya bara, hii ilichangia sana wazanzibar na watu wa baadhi ya mikoa ya bara wasifike vyuoni na kukosa sifa za ajira.

Lakini Kwa hali ya sasa ufaulu umeongezeka sana Tanzania nziima (Bara na Zanzibar), mfano matokeo ya mwaka jana form 6 ni ngumu kukuta division 4 na 0, hivyo wazanzibar wengi wataweza kwenda vyuoni na wakihitimu wataweza kujaa zaidi kwenye ofisi za bara na vyeo, hali hii ikiendelea hadi 2050 tunaweza kufika pazuri zaidi itapendeza kuona wazanzibari wakiwa wanne kati ya 10 kwenye ofisi kubwa / vyeo vya Tanzania
Wilaya ya Temeke yenye idadi kubwa zaidi ya Zanzibar uwiano wake uko vipi tukiilinganisha Zanzibar kwenye 'ofisi kubwa/vyeo vya Tanzania?'
 
Kwenye vyeo vya wakurugenzi wa taasisi, mashirika, n.k. unaweza kuwakuta wazanzibari wawili tu kati ya 10.

Mfano kuna mabalozi 9 tu kati ya 45

Mawaziri wapo wachache

Kwenye nafasi za ajira haitoshi kabisa kuna tetesi hupewa 2 kati ya 10, bado ni chach sana hizi, at least ziwe 4

nitoe pongezi za dhati kwa wizara ya elimu na Necta, Hapo zamani kulikuwa na changamoto kubwa ya ufaulu Zanzibar na baadhi ya mikoa ya bara, hii ilichangia sana wazanzibar na watu wa baadhi ya mikoa ya bara wasifike vyuoni na kukosa sifa za ajira.

Lakini Kwa hali ya sasa ufaulu umeongezeka sana Tanzania nziima (Bara na Zanzibar), mfano matokeo ya mwaka jana form 6 ni ngumu kukuta division 4 na 0, hivyo wazanzibar wengi wataweza kwenda vyuoni na wakihitimu wataweza kujaa zaidi kwenye ofisi za bara na vyeo, hali hii ikiendelea hadi 2050 tunaweza kufika pazuri zaidi itapendeza kuona wazanzibari wakiwa wanne kati ya 10 kwenye ofisi kubwa / vyeo vya Tanzania
Hata sisi wakurya ni Wachache kwenye vyeo

Tukianza hayo mambo tutavunja nchi vyeo havitolewi kwa ukabila dogo

Lakini hata kama ingekuwa hivyo tungetumia formula ya ration ya idadi ya watu
 
Kwa census ya 2022 Zanzibar inachangia 3% ya population ya Tanzania. Kwahiyo 97% ya population ni mainland, Utaipaje 30%?
By the way Shule kwa wazanzibar ipoo!?
 
Unakosea, Serkali ya muungano lazima ijali pande zote mbili, ndio maana Rais na Makamu wake wanatoka pande mbili
Haikupaswa kuwa hivyo, mnapoungana na kutengeneza aia ya serikali kama ya Tanzania, hapaswi kubalance, ila ingekuwa Muungano huo ni ceremonial tu kama Jumuiya ya Afrika Mashariki, hapo ingekuwa sawa
 
Kwa census ya 2022 Zanzibar inachangia 3% ya population ya Tanzania. Kwahiyo 97% ya population ni mainland, Utaipaje 30%?
By the way Shule kwa wazanzibar ipoo!?
Muungano sio suala la Population
 
Hata sisi wakurya ni Wachache kwenye vyeo

Tukianza hayo mambo tutavunja nchi vyeo havitolewi kwa ukabila dogo

Lakini hata kama ingekuwa hivyo tungetumia formula ya ration ya idadi ya watu
Tayari mpo ndani ya upande moja kwenye muungano wa pande mbili
 
Kwenye vyeo vya wakurugenzi wa taasisi, mashirika, n.k. unaweza kuwakuta wazanzibari wawili tu kati ya 10.

Mfano kuna mabalozi 9 tu kati ya 45

Mawaziri wapo wachache

Kwenye nafasi za ajira haitoshi kabisa kuna tetesi hupewa 2 kati ya 10, bado ni chach sana hizi, at least ziwe 4

nitoe pongezi za dhati kwa wizara ya elimu na Necta, Hapo zamani kulikuwa na changamoto kubwa ya ufaulu Zanzibar na baadhi ya mikoa ya bara, hii ilichangia sana wazanzibar na watu wa baadhi ya mikoa ya bara wasifike vyuoni na kukosa sifa za ajira.

Lakini Kwa hali ya sasa ufaulu umeongezeka sana Tanzania nziima (Bara na Zanzibar), mfano matokeo ya mwaka jana form 6 ni ngumu kukuta division 4 na 0, hivyo wazanzibar wengi wataweza kwenda vyuoni na wakihitimu wataweza kujaa zaidi kwenye ofisi za bara na vyeo, hali hii ikiendelea hadi 2050 tunaweza kufika pazuri zaidi itapendeza kuona wazanzibari wakiwa wanne kati ya 10 kwenye ofisi kubwa / vyeo vya Tanzania

Ukitaka kuwa fair,Visiwani nako nafasi zitolewe kwa wabara.Ila wachache ya wazenji wanaopewa nafasi za uongozi za juu huku bara, Kwa mtazamo wangu, wachache .i.e RAS etc ni kama wako defensive sana hiv,wengi wao ni wakali wakali hiv.Hapa sijajua shida ni nini.
 
Kwenye vyeo vya wakurugenzi wa taasisi, mashirika, n.k. unaweza kuwakuta wazanzibari wawili tu kati ya 10.

Mfano kuna mabalozi 9 tu kati ya 45

Mawaziri wapo wachache

Kwenye nafasi za ajira haitoshi kabisa kuna tetesi hupewa 2 kati ya 10, bado ni chach sana hizi, at least ziwe 4

nitoe pongezi za dhati kwa wizara ya elimu na Necta, Hapo zamani kulikuwa na changamoto kubwa ya ufaulu Zanzibar na baadhi ya mikoa ya bara, hii ilichangia sana wazanzibar na watu wa baadhi ya mikoa ya bara wasifike vyuoni na kukosa sifa za ajira.

Lakini Kwa hali ya sasa ufaulu umeongezeka sana Tanzania nziima (Bara na Zanzibar), mfano matokeo ya mwaka jana form 6 ni ngumu kukuta division 4 na 0, hivyo wazanzibar wengi wataweza kwenda vyuoni na wakihitimu wataweza kujaa zaidi kwenye ofisi za bara na vyeo, hali hii ikiendelea hadi 2050 tunaweza kufika pazuri zaidi itapendeza kuona wazanzibari wakiwa wanne kati ya 10 kwenye ofisi kubwa / vyeo vya Tanzania
Wapewe vyeo vyote kabisa mpaka wakuu wa shule za msingi, maafisa ardhi, maafisa kilimo. Na Watanganyika wapigwe marufuku kukanyaga Zanzibar au sio ndugu zangu.
 
Uncle bright mbona kwenu zanzibar hamtutaki sasa mnataka kutuspy aisee mtukome kama hamridhiki na kwenu basi kaeni tuli mtu mnatubania nakutufukuza kwenu au mnadhani hatujui anzeni nyie kutujali ndio mjaliwe
 
Kwani uwiano upoje kila Mzanzibari mmoja ni sawa na watanganyika wangapi?
Kosa lililofanyika ni kutoifanya Zanzibar kuwa mkoa wakati wa muungano, ilitakiwa mzee Karume awe mkuu wa mkoa wa Zanzibar.
Sensa ya 2022 idadi ya Wanzibar inasemaje?Tuanzie hapo ndio tusonge mbele kuhusu uwiano kwenye ajira.
 
Back
Top Bottom