Wazanzibari bado ni wachache kwenye vyeo muhimu Tanzania, waongezwe wafike at least 30%

Nadhani wapewe 100% kabisa. Yaani kila mahala, kila ofisi iongozwe na mzanzibari.

Zanzibar hoyee (kwa sauti ya kocha wa taifa stars)
 
Kwenye vyeo vya wakurugenzi wa taasisi, mashirika, n.k. unaweza kuwakuta wazanzibari wawili tu kati ya 10.

Mfano kuna mabalozi 9 tu kati ya 45

Mawaziri wapo wachache

Kwenye nafasi za ajira haitoshi kabisa kuna tetesi hupewa 2 kati ya 10, bado ni chach sana hizi, at least ziwe 4

nitoe pongezi za dhati kwa wizara ya elimu na Necta, Hapo zamani kulikuwa na changamoto kubwa ya ufaulu Zanzibar na baadhi ya mikoa ya bara, hii ilichangia sana wazanzibar na watu wengi wa sehemu hizo wasifike vyuoni na kukosa sifa za ajira.

Lakini Kwa hali ya sasa ufaulu umeongezeka sana Tanzania nziima (Bara na Zanzibar), mfano matokeo ya mwaka jana form 6 ni ngumu kukuta division 4 na 0, hivyo wazanzibar wengi wataweza kwenda vyuoni na wakihitimu wataweza kujaa zaidi kwenye ofisi za bara na vyeo, hali hii ikiendelea hadi 2050 tunaweza kufika pazuri zaidi itapendeza kuona wazanzibari wakiwa wanne kati ya 10 kwenye ofisi kubwa / vyeo vya Tanzania
Kwa kuwa ni waadilifu hata wakifika 50/50 ni sawa tuu
 
Watanganyika wapewe heshima yao pia hata kama Tanganyika Haina uhuru ndani ya Muungano. By the way, wabara pia kupatiwa nafasi muhimu Zanzibar itajenga Muungano wenye nguvu.
Ingia barabarani upaze sauti, usikimbie ukisikia kingora
 
Kwenye vyeo vya wakurugenzi wa taasisi, mashirika, n.k. unaweza kuwakuta wazanzibari wawili tu kati ya 10.

Mfano kuna mabalozi 9 tu kati ya 45

Mawaziri wapo wachache

Kwenye nafasi za ajira haitoshi kabisa kuna tetesi hupewa 2 kati ya 10, bado ni chach sana hizi, at least ziwe 4

nitoe pongezi za dhati kwa wizara ya elimu na Necta, Hapo zamani kulikuwa na changamoto kubwa ya ufaulu Zanzibar na baadhi ya mikoa ya bara, hii ilichangia sana wazanzibar na watu wengi wa sehemu hizo wasifike vyuoni na kukosa sifa za ajira.

Lakini Kwa hali ya sasa ufaulu umeongezeka sana Tanzania nziima (Bara na Zanzibar), mfano matokeo ya mwaka jana form 6 ni ngumu kukuta division 4 na 0, hivyo wazanzibar wengi wataweza kwenda vyuoni na wakihitimu wataweza kujaa zaidi kwenye ofisi za bara na vyeo, hali hii ikiendelea hadi 2050 tunaweza kufika pazuri zaidi itapendeza kuona wazanzibari wakiwa wanne kati ya 10 kwenye ofisi kubwa / vyeo vya Tanzania
Serikali ya Muungano haina Mzanzibar wala Mtanganyika. Kama wanazingatia hivyo vigezo wanakosea, inapaswa wazingatie uwezo na utanzania.
 
zanzibar ni nchi basi raia wake waajiriwe kule kule mbona watanganyika hatuajiriki wala kusomeshwa au kumiliki ardhi zanzibar!!!
Zanzibar kuna serikali 2, Yao na ya muungano, yao ni kwajili yao, Ya muungano ni kwajili ya wote.
 
Kuna haja gani ya muungano sasa?

Kwamba vya huku hawa haviwahusu ila hawa vinawahusu.

Huoni ukakasi?
Zanzibar kuna serikali 2, Yao kwajili yao na ya muungano kwajili ya wote wabara na wazanzibar.
 
Kwenye vyeo vya wakurugenzi wa taasisi, mashirika, n.k. unaweza kuwakuta wazanzibari wawili tu kati ya 10.

Mfano kuna mabalozi 9 tu kati ya 45

Mawaziri wapo wachache

Kwenye nafasi za ajira haitoshi kabisa kuna tetesi hupewa 2 kati ya 10, bado ni chach sana hizi, at least ziwe 4

nitoe pongezi za dhati kwa wizara ya elimu na Necta, Hapo zamani kulikuwa na changamoto kubwa ya ufaulu Zanzibar na baadhi ya mikoa ya bara, hii ilichangia sana wazanzibar na watu wengi wa sehemu hizo wasifike vyuoni na kukosa sifa za ajira.

Lakini Kwa hali ya sasa ufaulu umeongezeka sana Tanzania nziima (Bara na Zanzibar), mfano matokeo ya mwaka jana form 6 ni ngumu kukuta division 4 na 0, hivyo wazanzibar wengi wataweza kwenda vyuoni na wakihitimu wataweza kujaa zaidi kwenye ofisi za bara na vyeo, hali hii ikiendelea hadi 2050 tunaweza kufika pazuri zaidi itapendeza kuona wazanzibari wakiwa wanne kati ya 10 kwenye ofisi kubwa / vyeo vya Tanzania
Huna akili. Watu chini ya 2m wachukue 30% ya vyeo dhidi ya watu 40m?
 
Hatuangalii watu, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni muunganiko wa Bara na Zanzibar, usawa unahitajika kulinda heshima ya muungano
 
Kwenye vyeo vya wakurugenzi wa taasisi, mashirika, n.k. unaweza kuwakuta wazanzibari wawili tu kati ya 10.

Mfano kuna mabalozi 9 tu kati ya 45

Mawaziri wapo wachache

Kwenye nafasi za ajira haitoshi kabisa kuna tetesi hupewa 2 kati ya 10, bado ni chach sana hizi, at least ziwe 4

nitoe pongezi za dhati kwa wizara ya elimu na Necta, Hapo zamani kulikuwa na changamoto kubwa ya ufaulu Zanzibar na baadhi ya mikoa ya bara, hii ilichangia sana wazanzibar na watu wengi wa sehemu hizo wasifike vyuoni na kukosa sifa za ajira.

Lakini Kwa hali ya sasa ufaulu umeongezeka sana Tanzania nziima (Bara na Zanzibar), mfano matokeo ya mwaka jana form 6 ni ngumu kukuta division 4 na 0, hivyo wazanzibar wengi wataweza kwenda vyuoni na wakihitimu wataweza kujaa zaidi kwenye ofisi za bara na vyeo, hali hii ikiendelea hadi 2050 tunaweza kufika pazuri zaidi itapendeza kuona wazanzibari wakiwa wanne kati ya 10 kwenye ofisi kubwa / vyeo vya Tanzania
Umenikumbusha ya mzee aboud jumbe mwinyi.
 
Back
Top Bottom