Wazanzibari bado ni wachache kwenye vyeo muhimu Tanzania, waongezwe wafike at least 30%

Wanatosha sana hiyo ni nchi yenye ukubwa wa wilaya!!

Kuhusu kufaulu walikuwa wanafeli kwa kuendekeza Ile elimu ya maandishi ya Toka KULIA KWENDA KUSHOTO.
 
Kwani uwiano upoje kila Mzanzibari mmoja ni sawa na watanganyika wangapi?
Kosa lililofanyika ni kutoifanya Zanzibar kuwa mkoa wakati wa muungano, ilitakiwa mzee Karume awe mkuu wa mkoa wa Zanzibar.
Ilitakiwa iwe hivyo mkuu Nyerere alizingua,,,,
 
Na kwenye vyeo vya huko visiwani kwenu kuna Watangayika wangapi? Hivi ni kwa nini msijitoe tu kwenye huo Muungano, ili mteuane kadiri mnavyopenda nyinyi wenyewe!!
 
Hata wakipewa vyeo vyote kama hawana maarifa ya kazi ni kazi bure
 
Naunga mkono hoja.ikiwezekana viongozi wote wa Tanganyika watoke Zanzibar Kwa kuwa watanganyika ni wendawazimu hawajui kudai haki zao.
Wazenji hawana elimu Dunia Wana elimu ahera na wakiwa na elimu Dunia ni fomu 4 failure kama yule, Sasa unategemea Nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…