Wazanzibari bado wanataka OIC, Watanganyika tubariki tuyaone maendeleo

Wazanzibari bado wanataka OIC, Watanganyika tubariki tuyaone maendeleo

Hilo nalo neno, ila nilikuwa nakumbushia ya Lukuvi aliposema wazanzibari wanataka waarabu warudi ili watutawale na ni ni hatari sana kwa usalama
Hayo maneno yalikuwa ni mabaya mno kwa waziri kuyaongea tena akaungwa mkono na viongozi wa dini kanisani wakisikika kabisa
Kuhusu chuki zao sijui boss maana kama wanataka kujitenga ni shauri lao kwa wanavyoona wao
Sisi kama tunataka kisiwa tunavyo vingi tena tunaweza kumwambia mchina atutengenezee kikubwa maana mchina hashindwi kitu na ameisha tengeneza artificial island huko
Kweli kabisa 🙌
 
Hilo nalo neno, ila nilikuwa nakumbushia ya Lukuvi aliposema wazanzibari wanataka waarabu warudi ili watutawale na ni ni hatari sana kwa usalama
Hayo maneno yalikuwa ni mabaya mno kwa waziri kuyaongea tena akaungwa mkono na viongozi wa dini kanisani wakisikika kabisa
Kuhusu chuki zao sijui boss maana kama wanataka kujitenga ni shauri lao kwa wanavyoona wao
Sisi kama tunataka kisiwa tunavyo vingi tena tunaweza kumwambia mchina atutengenezee kikubwa maana mchina hashindwi kitu na ameisha tengeneza artificial island huko
Muungano uvunjwe haraka
 
Kwanza naunga mkono sio Zanzibar kujiunga na OIC bali Tanzania tujiunge na OIC.

Kila nchi inaweza kufaidika kwa fursa zake, hivyo failures ya Uganda kufaidika na OIC is not an excuse Zanzibar isifaidike!. Kuahidiwa Mahakama ya Kadhi, kujiunga na OIC kumeleta mshikamano na serikali? na Kumbe CCM na Ikulu ndio inaratibu Tanzania kuwa nchi ya Kiislam


P
Wazo sio baya, ila limetolewa katika maudhui ya kidini sana ambayo ni mabaya kuliko hata shutuma wanazokabili wasanii kama Nay wa Mitego. Lugha kama hii huleta machafuko katika nchi.

Na hivi kwa nini waislamu mara zote wanaona uwepo wa raisi muislamu Tanzania ni fursa kwao dhidi ya wakristo?
 
Hapana, hapa tunaongelea uhusiano. Halafu kujiunga na OIC kwa lengo la kupata misaada sio akili nzuri, ni kujifanya omba omba. Tunataka tuwe donor country!😀
Unadhani akina Nchimbi, Bashe na Rostam Aziz walienda Vatican kuzurura? 😂😂😂
 
Mkuu Idu kwanza kwanini unitukane?!. Kwani kuwa secular state ndio nini?. Mbona tunapokea fedha toka taasisi za kikiristo?. Kujiunga na OIC hakumaanishi nchi inageuka ya Kiislamu, Uganda ni mwanachama, imekuwa nchi ya Kiislamu?.
p
Kwa nini Zanzibar ilijiunga kimyakimya mwaka 1993 kisha ikajiondoa kwa nguvu ya Bunge?
 
huyu jamaa ametoa picha yote na ramani wanzanzibari wanafanya kwa Tanganyika. ndio maana watu waliuliza kwanini sisi tunakopa zanzibar wanafaidi ila hawalipi, kwanini deni la umeme kipindi cha magu walisamehewa kwahiyo sisi tunawalipia umeme? kuna faida gani Tanganyika inapata toka kwa Zanzibar? na kwa bahati mbaya, wakristo Tanzania ni 60% kwa sasa na wanazidi kuongezeka hivyo wasahau kabisa OIC.
Changamoto ni kwa Watanganyika ambao hawataki muungano huu uvunjike lakini Wazanzibari wako tayari kuvunja muungano.

Wacha tuendelee kupigwa mpaka akili itukae sawa!
 
Kwa nini Zanzibar ilijiunga kimyakimya mwaka 1993 kisha ikajiondoa kwa nguvu ya Bunge?
Katiba ni ngumu sana kwa walio wengi, kwa vile Zanzibar ina uhuru wa mambo yake ya ndani yasiyo ya muungano, hivyo wakadhani wanaweza kujiunga tuu, hivyo wakajiunga.

Kumbe Zanzibar sio nchi, OIC ni ya nchi. Ilipofika Bungeni wabunge wakachamaa ikalazimishwa kujitoa kwa ahadi ya Tanzania kujiunga.
Kitendo hicho ni kuionea Zanzibar kama tunavyowaonea Waislamu kuwanyima mahakama ya kadhi.

Zanzibar waachwe wajiunge OIC.
Mwisho unapomkosea mtu kwa kumtukana bila kosa lolote, akikuuliza kwanini umemtukana, usikae kimya as if you did nothing wrong!, jifunze kusema sorry!.

P
 
Kuna msukumo mkubwa wa Wazanzibari ukichagizwa na uislam kwa Rais Samia na Rais Mwinyi kutaka Serikali ya Zanzibar kujiunga na OIC ili vijana wa Zanzibar wapate ajira na ujenzi wa bandari kubwa kisiwani Unguja.

Hilo ni jambo jema kwa maendeleo kama yatapatikana kweli. Changamoto iliyopo ni maendeleo hayo kunasibishwa na uislam na waislam ambapo unaweza ukazaliwa ubaguzi mbaya sana wa kidini.

Angalizo kwa wale wanaotaka Zanzibar kujiunga na OIC ni kuwa kuna nchi nyingi za Kiafrika ambazo zilijiunga na Jumuiya hiyo kwa matumaini ya kupata maendeleo makubwa na ya haraka, lakini badala yake yakuzaliwa makundi ya magaidi wa kiislam ambayo yamekuwa hatari kwa serikali za nchi hizo na hakuna maendeleo yaliyokusudiwa. Mfano ni jirani yetu Uganda ambayo ni mwanachama wa OIC na walichovuna ni kuzuka kwa kikundi cha kigaidi kinachoisumbua serikali ya Museveni na hakuna mchango wo wote wa maendeleo ambao Uganda inapata!

View attachment 3112979
Wapewe kura ya maoni kuwauliza kama wanautaka Muungano au hawautaki.

Huo ndio mzizi wa fitina hizi nyingine ni mazungumzo baada ya habari tu.
 
Muungano uvunjwe haraka
Hawa huku wengine leo wamefikia makubaliano wapewe kisiwa chao huko Mauritius
Baada ya utawala wa UK miaka 50 sasa rasmi wakazi wa zamani wanarudi kisiwani kwao
Screenshot_20241003_195207_Chrome~2.png
 
Back
Top Bottom