Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Wengi ukiongolea Utumwa wanafikiri ni wale tu waliosafirishwa kwa meli mpaka Amerika, wanasahau kwamba Biashara ya utumwa ilifanyika hapa hapa pia, mfano wengi wanaojiita Wazanzibari leo hii walitokea Bara na walifika huko kama Watumwa, waliuzwa utumwani na akina Tippu Tip , Tippu Tip aliwanunua kutoka Kigoma, Tabora na kuwauza Bagamoyo na Zanzibar.
Hivyo wengi weusi Wazanzibari ni mzao wa Utumwa na ndio jinsi walivyofika Visiwani kutokea Kigoma, Tabora kufwata hiyo caravan.
Hivyo wengi weusi Wazanzibari ni mzao wa Utumwa na ndio jinsi walivyofika Visiwani kutokea Kigoma, Tabora kufwata hiyo caravan.