bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Waswahili wapo na waarabu wapo, hiyo raha ya ajabu ni mawazo yako yasiyokuwa na uthibitisho.Wenyewe wanajisikia Raha ya aajabu uliwaita waarabu, yaani wanafurahia kweli kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waswahili wapo na waarabu wapo, hiyo raha ya ajabu ni mawazo yako yasiyokuwa na uthibitisho.Wenyewe wanajisikia Raha ya aajabu uliwaita waarabu, yaani wanafurahia kweli kweli
Hawa hawaijui historia ya Zanzibar wamebaki wanarukia rukia tu. Ni kweli watu wenye asili ya utumwa wanajulikana vyema kwani jamii za watu wa visiwani zilikuwepo kabla ya hata hiyo biashara ya utumwa kuwepo.Unatumia nguvu nyingi kuzungumza Pumba mkuu, Wazanzibari wenye asili ya Utumwa mbona wanajulikana, Hata ukienda Zanzibar wanajuana. Ila sio wote kama unavyojaribu kumaanisha. Na wengi wao ni waumini wa CCM.
Kwani machogo yana faida gani?Sasa huu ugonjwa wa kutokuwa na vichogo wameutoa wapi...?
Zamani wakati wa msimu wa kuchuma karafuu kulikuwa na meli special ya kuchukua vibarua kutoka bara kwa ajili ya kufanya kazi hiyo.Lkn bado haujakijibu hata ulichokiandika wewe mwenyewe, Wanzanzibari weusi waliotokea Kigoma na Tabora a long hiyo line walifikaje Zanzibar?
Zamani wakati wa msimu wa kuchuma karafuu kulikuwa na meli special ya kuchukua vibarua kutoka bara kwa ajili ya kufanya kazi hiyo.
Ndiyo wengine wakabaki kulowea huku. Sasa sisi huku wote huwa tunawaita Wanyamwezi hatujui kabila jengine.
Ukisoma historia karafuu imekuja visiwani kabla ya Tippu Tip. TT ameishi katika miaka ya kuanzia 1850 mpaka 19... Ninacho kitabu chake alichoandika mwenyewe (autobiography).Hiyo ya karafuu ni ya juzi, unaweza kuita ni kundi la pili lakini kundi la kwanza waliuzwa utumwani kutokea Kigoma, Tabora mpaka Bagamoyo na Zanzibar ilitokea miaka ya nyuma zaidi wakati wa Tippu Tip, kabla hata ya Ukoloni wa Kizungu zaidi ya miaka 150 iliyopita.
Stupid.Wengi ukiongolea Utumwa wanafikiri ni wale tu waliosafirishwa kwa meli mpaka Amerika, wanasahau kwamba Biashara ya utumwa ilifanyika hapa hapa pia, mfano wengi wanaojiita Wazanzibari leo hii walitokea Bara na walifika huko kama Watumwa, waliuzwa utumwani na akina Tippu Tip , Tippu Tip aliwanunua kutoka Kigoma, Tabora na kuwauza Bagamoyo na Zanzibar.
Hivyo wengi weusi Wazanzibari ni mzao wa Utumwa na ndio jinsi walivyofika Visiwani kutokea Kigoma, Tabora kufwata hiyo caravan.
Stupid.
Kwa hiyo walipoingia waafabu walikuta visiwa vitupu?
Tumia akili ndogo tu ya kuzaliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wenyewe wanajisikia Raha ya aajabu uliwaita waarabu, yaani wanafurahia kweli kweli
Kwa hiyo tuwaite mazuzu?Wanapenda sana kujiona waarabu hata jitu liwe jeusi kama lami.
Unaona sasa akili yako ilivyo ndogo??,Sasa CCM inakujaje hapa??.Unatumia nguvu nyingi kuzungumza Pumba mkuu, Wazanzibari wenye asili ya Utumwa mbona wanajulikana, Hata ukienda Zanzibar wanajuana. Ila sio wote kama unavyojaribu kumaanisha. Na wengi wao ni waumini wa CCM.
Hakuna mwenye slave mentality nyinyi ndiyo munataka kuforce kuwa lazima Wazanzibari wote waseme wanatoka Bara, kitu ambacho siyo kweli kabisa.Caravan ilianzia Congo... wamanyema, waha, wanyamwezi ndo wazanzibar wa leo. Ndo maana unaona jina Karume lina asili ya Congo kwa wamanyema. Kuna Karume wengi sana Congo. Sema wazanzibar wengi wana mentality ya kiutumwa ( am sorry to say this - lakin ndo ukweli wenyewe) , wanakataa asili yao ya bara, wapo tayari waambiwe walitokea Oman, watakubali na kuchekelea, kuliko kuambiwa wametokea bara. Slave mentality!
Tupe breakdown ya hao weusi na waarabu/weusi nusu na waarabu.Huo ushauri ulipaswa uutumie wewe labda kwa kujifunza kwanza kusoma na kuelewa kilochoandikwa kabla ya kujibu, nimeandika“Wazanzibari wengi weusi“, got it ?
Mi naongelea majority ya watu weusi.. asili yao ni huku bara. Na haina maana lazima iwe Tanzania, inaweza kuwa Burundi, Congo nk... Lakin huwezi kuona wana acknowledge mizizi yao. Hata marekani wazungu wamejaa pale wametoka kila pande ya dunia. Lakin huwa wanasema kuwa asili yao, kama ni German, Irish, Italian nk. Lakin sijawahi kumsikia mzanzibar yoyote akisema kuwa mimi asili yangu ni mnyamwezi, au Muha, au Manyema..au hata kutumia jina la ukoo wao wa asili, utasikia mimi naitwa Seif Khalfan Seif kwa mfano, majina yote ya kiarabu. Anaogopa nini kutumia ubini wa mababu zao? Kwanini asiseme Mimi Seif Khalfan Masanja kwa mfano? wanaogopa nini? Inamaana wazazi wao wote walikuwa hawajui walikotoka na majina yao ya kibantu? Watu wa Zanzibar Wapo tayari kuikana asili yao ya kibantu na kujifanya wao ni waarabu. Slave mentality. Mnasumbuliwa na kutaka kujinasibisha na waarabu. Na hapa ndio utajua wengi wenu utumwa bado upo vichwani mwenu. MKATAA KWAO NI MTUMWA!!Hakuna mwenye slave mentality nyinyi ndiyo munataka kuforce kuwa lazima Wazanzibari wote waseme wanatoka Bara, kitu ambacho siyo kweli kabisa.
Wapo walio na asili yao hapa karne nyingi hata kabla ya utumwa na siyo lazima wawe wametokea Tanganyika. Hivi visiwa vilikuwa vya biashara kwa hivyo kuna mchanganyiko wa watu kutoka maeneo tafauti ya dunia (India, Uturuki, Ethiopia na kadhalika).
Wapo ambao wana asili ya bara kama wahamiaji na pia kwa wale ambao wazazi wao wanatokana na utumwa (wanaeleweka kabisa).
Wako ambao wazazi wao wametokea Oman na wamechanganyika na Waswahili wa visiwani au wabara. Hao pia wanaeleweka.
Shida yenu nyinyi munadhani sisi hatujui mizizi yetu (huku wanaita silsila) - wrong!
Mzee Nenda Wikipedia Karume amezaliwa Malawi(Nyasaland) mwaka 1905 ,sijui alifikaje Zanzibar ila ni mzaliwa wa Malawi ,Wikipedia inasema hivyoCaravan ilianzia Congo... wamanyema, waha, wanyamwezi ndo wazanzibar wa leo. Ndo maana unaona jina Karume lina asili ya Congo kwa wamanyema. Kuna Karume wengi sana Congo. Sema wazanzibar wengi wana mentality ya kiutumwa ( am sorry to say this - lakin ndo ukweli wenyewe) , wanakataa asili yao ya bara, wapo tayari waambiwe walitokea Oman, watakubali na kuchekelea, kuliko kuambiwa wametokea bara. Slave mentality!