Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabanzi ya wakoloni labdaSasa huu ugonjwa wa kutokuwa na vichogo wameutoa wapi...?
Wengi ukiongolea Utumwa wanafikiri ni wale tu waliosafirishwa kwa meli mpaka Amerika, wanasahau kwamba Biashara ya utumwa ilifanyika hapa hapa pia, mfano wengi wanaojiita Wazanzibari leo hii walitokea Bara na walifika huko kama Watumwa, waliuzwa utumwani na akina Tippu Tip , Tippu Tip aliwanunua kutoka Kigoma, Tabora na kuwauza Bagamoyo na Zanzibar.
Hivyo wengi weusi Wazanzibari ni mzao wa Utumwa na ndio jinsi walivyofika Visiwani kutokea Kigoma, Tabora kufwata hiyo caravan.
[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Wanaojiita?Wengi ukiongolea Utumwa wanafikiri ni wale tu waliosafirishwa kwa meli mpaka Amerika, wanasahau kwamba Biashara ya utumwa ilifanyika hapa hapa pia, mfano wengi wanaojiita Wazanzibari
Kwa hiyo tuamini "wengi" weusi ni mzao wa Utumwa?leo hii walitokea Bara na walifika huko kama Watumwa, waliuzwa utumwani na akina Tippu Tip , Tippu Tip aliwanunua kutoka Kigoma, Tabora na kuwauza Bagamoyo na Zanzibar.
Hivyo wengi weusi Wazanzibari ni mzao wa Utumwa na ndio jinsi walivyofika Visiwani kutokea Kigoma, Tabora kufwata hiyo caravan.
Kwa hiyo tuamini "wengi" weusi ni mzao hatte
Kwa taarifa yako pia, ni kweli watu weusi wa Zanzibar wana asili za Tabora, -Congo hususani- na Kigoma. Na kwaavile wao ndio walitoka katika maeneo yao na hata kufika Zanzibar iliwashangaza Waarabu. Waarabu na Watu wa Ulaya au Wazungu ndio waliwatumia kufika maeneo ya walikotoka kwani wao ndio waliokuwa wanajua njia za kufika mpaka bahari ya Atlantic kutokea Bahari ya Hindi kupitia Nchi kavu!
Moderator please take note.
Kinachosikitisha hawa ndugu zetu ambao mababu zao kwa bahati mbaya walipelekwa huko visiwani wanalazimisha wawe na nchi badala ya kupambana tuungane tuwe nchi yenye serikali moja.Wengi ukiongolea Utumwa wanafikiri ni wale tu waliosafirishwa kwa meli mpaka Amerika, wanasahau kwamba Biashara ya utumwa ilifanyika hapa hapa pia, mfano wengi wanaojiita Wazanzibari leo hii walitokea Bara na walifika huko kama Watumwa, waliuzwa utumwani na akina Tippu Tip , Tippu Tip aliwanunua kutoka Kigoma, Tabora na kuwauza Bagamoyo na Zanzibar.
Hivyo wengi weusi Wazanzibari ni mzao wa Utumwa na ndio jinsi walivyofika Visiwani kutokea Kigoma, Tabora kufwata hiyo caravan.
Kakugusa kwenye punani ?Kijakazi ...
Mbona umekurupuka Sana?!
Aiseeeh dogo utanivunja mbavu babu yako.
UmekurupukaVizuri kwamba umekiri Wazanzibari wengi wametokea Kigoma, Tabora kwenye hiyo line, sasa unafikiri walifikaje Zanzibar ? Na kwa nini labda ? Unafikiri waliamka tu asubuhi na kuamua twendeni Zanzibar na tuwapitie wa Tabora pia ?
Unakuuuuujaaaa halafu unapoteaUmekurupuka
Hujasoma nimekiri nini? Unakwapua uendeleze upotoshaji wa umma na umbumbumbu wa historia unayotaka wewe umma uamini.
Again, Kwa Taarifa yako Wazanj ni watu weusi. Waarabu ndio waliwakuta hawa watu wa kutoka huko congo wakiwa wanaishi kisiwani humo.
Umekurupuka
Hujasoma nimekiri nini? Unakwapua uendeleze upotoshaji wa umma na umbumbumbu wa historia unayotaka wewe umma uamini.
Again, Kwa Taarifa yako Wazanj ni watu weusi. Waarabu ndio waliwakuta hawa watu wa kutoka huko congo wakiwa wanaishi kisiwani humo.
Kwanza asili ya Watu wa Kisiwani hapo ni Weusi na siyo vinginevyoWazanzibari wengi( weusi) ni descendants wa Slavery!
Hilo juu peke yake, inaonyesha ni jinsi gani ulivyo - mpumbavu pamoja na umbumbumbu wa jambo(historia ya ubaguzi wa kimbari) unalotaka kuaminisha watu hapa... hiyo kauli yako na maelezo uliyoyatumia ni ya kejeli, ni ya kudumaza na lina asili ya kibaguzi, sintosita na kukuita wewe ni Mbaguzi wa rangi, najitahidi sana kutokufanya hivyo-kubandikia watu vitu sivyo kwani nitakuwa nakiuka miongozo ya JamiiForum lakini imenilazimu nikuite hivyo kwani Kielelezo chako na maudhui yako yanaonyesha na kushiria hivyo.
Unacho shauri nini kitokee?
Wanaojiita?
Kwani Zanzibar ilikuwa na 'watu' wenye asili gani?
Asili ni nini?
Kwa hiyo tuamini "wengi" weusi ni mzao wa Utumwa?
Utumwa ni nini?
Utumwa unazalisha watu weusi?
Kuzalisha ina maana gani kwako?
Kwa taarifa yako, watu wa asili(Original) Zanzibar (walikuwa weusi) na waliitwa- 'Zanj' Wazenji-, waliitwa hivyo na Waarabu wa Oman
Neno Zanj lina maana gani Kiarabu?
Ina maanisha Congo-kigoma tabora,Waarabu na Watu wa Ulaya au Wazungu ndio waliwatumia kufika maeneo ya walikotoka
Wakongo -wako mpaka bahari ya Atlantic.kwani wao ndio waliokuwa wanajua njia za kufika mpaka bahari ya Atlantic kutokea Bahari ya Hindi kupitia Nchi kavu!
Nakutaadharisha. Wacha kutumia , kueneza na kuzalisha dhana potofu na ujinga wa waliokutuma(kama umetumwa) kuandika upuuzi.
Huo ulioandika ni Upotoshaji.
Amani
Aluta Continua
Moderator please take note.
Swali rahisi.Lkn bado haujakijibu hata ulichokiandika wewe mwenyewe, Wanzanzibari weusi waliotokea Kigoma na Tabora a long hiyo line walifikaje Zanzibar?
Swali rahisi.
Walitembea.
Kulikuwa hakuna watu anamaanisha.Mkuu,hebu nifumbue macho.Kabla ya waarabu,waha,na hao wanyamwezi kwenda huko zenji,wakazi waasili waliokutwa hapo ni akina nani?
Aisee nimecheka mwenyewe