Wazanzibari wengi (weusi) ni descendants wa Slavery


Historia hii husomeshwa kwenye Parokia zote ?
 

Wazanzibari wengi( weusi) ni descendants wa Slavery!​


Hilo juu peke yake, inaonyesha ni jinsi gani ulivyo - mpumbavu pamoja na umbumbumbu wa jambo(historia ya ubaguzi wa kimbari) unalotaka kuaminisha watu hapa... hiyo kauli yako na maelezo uliyoyatumia ni ya kejeli, ni ya kudumaza na lina asili ya kibaguzi, sintosita na kukuita wewe ni Mbaguzi wa rangi, najitahidi sana kutokufanya hivyo-kubandikia watu vitu sivyo kwani nitakuwa nakiuka miongozo ya JamiiForum lakini imenilazimu nikuite hivyo kwani Kielelezo chako na maudhui yako yanaonyesha na kushiria hivyo.


Unacho shauri nini kitokee?
Wengi ukiongolea Utumwa wanafikiri ni wale tu waliosafirishwa kwa meli mpaka Amerika, wanasahau kwamba Biashara ya utumwa ilifanyika hapa hapa pia, mfano wengi wanaojiita Wazanzibari
Wanaojiita?
Kwani Zanzibar ilikuwa na 'watu' wenye asili gani?

Asili ni nini?

Kwa hiyo tuamini "wengi" weusi ni mzao wa Utumwa?

Utumwa ni nini?
Utumwa unazalisha watu weusi?
Kuzalisha ina maana gani kwako?
Kwa taarifa yako, watu wa asili(Original) Zanzibar (walikuwa weusi) na waliitwa- 'Zanj' Wazenji-, waliitwa hivyo na Waarabu wa Oman
Neno Zanj lina maana gani Kiarabu?

Kwa taarifa yako pia, ni kweli watu weusi wa Zanzibar wana asili za Tabora, -Congo hususani- na Kigoma. Na kwaavile wao ndio walitoka katika maeneo yao na hata kufika Zanzibar iliwashangaza Waarabu. Waarabu na Watu wa Ulaya au Wazungu ndio waliwatumia kufika maeneo ya walikotoka kwani wao ndio waliokuwa wanajua njia za kufika mpaka bahari ya Atlantic kutokea Bahari ya Hindi kupitia Nchi kavu!

Nakutaadharisha. Wacha kutumia , kueneza na kuzalisha dhana potofu na ujinga wa waliokutuma(kama umetumwa) kuandika upuuzi.

Huo ulioandika ni Upotoshaji.

Amani
Aluta Continua

Moderator please take note.
 

Vizuri kwamba umekiri Wazanzibari wengi wametokea Kigoma, Tabora kwenye hiyo line, sasa unafikiri walifikaje Zanzibar ? Na kwa nini labda ? Unafikiri waliamka tu asubuhi na kuamua twendeni Zanzibar na tuwapitie wa Tabora pia ?
 
Kinachosikitisha hawa ndugu zetu ambao mababu zao kwa bahati mbaya walipelekwa huko visiwani wanalazimisha wawe na nchi badala ya kupambana tuungane tuwe nchi yenye serikali moja.
 
Vizuri kwamba umekiri Wazanzibari wengi wametokea Kigoma, Tabora kwenye hiyo line, sasa unafikiri walifikaje Zanzibar ? Na kwa nini labda ? Unafikiri waliamka tu asubuhi na kuamua twendeni Zanzibar na tuwapitie wa Tabora pia ?
Umekurupuka
Hujasoma nimekiri nini? Unakwapua uendeleze upotoshaji wa umma na umbumbumbu wa historia unayotaka wewe umma uamini.

Again, Kwa Taarifa yako Wazanj ni watu weusi. Waarabu ndio waliwakuta hawa watu wa kutoka huko congo wakiwa wanaishi kisiwani humo.
 
Unakuuuuujaaaa halafu unapotea
 

Lkn bado haujakijibu hata ulichokiandika wewe mwenyewe, Wanzanzibari weusi waliotokea Kigoma na Tabora a long hiyo line walifikaje Zanzibar?
 
Kwanza asili ya Watu wa Kisiwani hapo ni Weusi na siyo vinginevyo
Waarabu na Watu wa Ulaya au Wazungu ndio waliwatumia kufika maeneo ya walikotoka
Ina maanisha Congo-kigoma tabora,
kwani wao ndio waliokuwa wanajua njia za kufika mpaka bahari ya Atlantic kutokea Bahari ya Hindi kupitia Nchi kavu!
Wakongo -wako mpaka bahari ya Atlantic.

Walifika (Kisiwani) kama watu wengine waliofika huko, kikubwa biashara. Waka settle huko. Waarabu waliwakuta huko Zanzibar na Dhahabu wakafanya nao Biashara. Wakawageuzia kibao!
Nakutaadharisha. Wacha kutumia , kueneza na kuzalisha dhana potofu na ujinga wa waliokutuma(kama umetumwa) kuandika upuuzi.

Huo ulioandika ni Upotoshaji.

Amani
Aluta Continua

Moderator please take note.
 
Swali rahisi.
Walitembea.

Hilo linajulikana, kwamba walitembea, lkn sicho nilichomaanisha hata wewe mwenyewe labda unalijua hilo, lkn nachukulia kwamba umeamua kukwepa na kujifanya kipofu kwenye mambo yaliyo wazi kabisa hata shuleni tulifundishwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…