Wazanzibari wengi (weusi) ni descendants wa Slavery

Mzee Nenda Wikipedia Karume amezaliwa Malawi(Nyasaland) mwaka 1905 ,sijui alifikaje Zanzibar ila ni mzaliwa wa Malawi ,Wikipedia inasema hivyo
Sijasema Karume huyo unaemjua lazima awe mkongo. Nimetoa mfano tu kuonyesha wazanzibar wengi wanatoka huku bara. Hata Congo kina Karume wapo wengi tu.
 
Sasa wewe unakataa nini hapa, au unabisha nini wakati kila kitu ambacho amekisema unaendelea kukubali? Amepotosha nini na wewe unakubali nini?
 
Sasa huu ugonjwa wa kutokuwa na vichogo wameutoa wapi...?
Hakuna ugonjwa kutokuwa na machogo..wakizaliwa tu wakati bado ni wachanga, kichwa kina kinabemendwa na mama zao ili kiwe na shape ya kuvaa kibalaghashee
 
wao hata hawajitambui

mfano mama samia ni ana asili kama mtu wa tabora au tanga hivi...
Mnyamwezi Yule...watu wengi wa Pwani wana asili ya unyamwezini. Walikuja wakabobea huko. Mfano Wakwere ni wanyamwezi
 
Haya sawa, Ni tumekubali kuna lingine la zaidi??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Unaongea kimyakimua kwamba Zanzibar ilikutwa Bila watu.
Hacha zako wewe.
 
Ukisoma historia karafuu imekuja visiwani kabla ya Tippu Tip. TT ameishi katika miaka ya kuanzia 1850 mpaka 19... Ninacho kitabu chake alichoandika mwenyewe (autobiography).

Nahitaji ukaribu wako dear najua nitajifunza vingi kutoka kwako mammy...!
 
Hii ina ukweli maana zenji kuna waziri wa elimu anatwa Riziki Pombe John inasemekana ni dada yake Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…