Wazawa Wengi wa Morogoro hawajui kusoma na kuandika vizuri

Nimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake.

Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa.

Ndugu zetu?
Wanakuambia mkoa wao una vyuo lukuki ila wasomi wa vyuo hivyo hawana tofauti na wao
 
Nimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake.

Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa.

Ndugu zetu?

Kwani wa mkoa gani wanajua vizuri kaka? Kwani hujui ni miaka 60 sasa tunapambana na Ujinga, maradhi na umaskini na hakuna hata mmoja tumefika hata nusu tu?

Kipindupindu kila mwaka kinatutembelea ina maana bado tunakula mavi miaka 60 baada ya ukoloni mkongwe
 
Nimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake.

Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa.

Ndugu zetu?
Waluguru ni Wazaramo wa bara, damu damu, hawataki shida na hawapendi kukanyaga umande.
 
Nimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake.

Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa.

Ndugu zetu?
Haiwezekani.Hawahawa wauza machungwa wetu hawajui kusoma na ku-write miandiko?🤣🤣🤣😊
 
Back
Top Bottom