Wazawa Wengi wa Morogoro hawajui kusoma na kuandika vizuri

Wazawa Wengi wa Morogoro hawajui kusoma na kuandika vizuri

kusoma na kuongea ni vitu viwili tofauti, kuna dogo mmoja aliambiwa ukiandika jina lako unapewa gunia la mpunga alikuwa mkali huyo kaona amedharauliwa
Kipindi cha nyuma nilijuaga mtu akijua kuongea basi na kusoma anajua ebhanaeee
Kuna sehemu nilifika watu vijana na viduku vyao kumbe kusoma hawajui
Kwani wa mkoa gani wanajua vizuri kaka? Kwani hujui ni miaka 60 sasa tunapambana na Ujinga, maradhi na umaskini na hakuna hata mmoja tumefika hata nusu tu?

Kipindupindu kila mwaka kinatutembelea ina maana bado tunakula mavi miaka 60 baada ya ukoloni mkongwe
Hii ni maalumu kwa waluguru
 
Nimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake.

Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa.

Ndugu zetu?
Kweli nature ina balance! Yaan kwenye kuongea wanajiweza kweli unaweza ukafikiri umekutana na mtu mjanja wa maana, mwambie sasa hata save namba ya Simu atakavyorukaruka.
 
Back
Top Bottom