Wazawa Wengi wa Morogoro hawajui kusoma na kuandika vizuri

Wazawa Wengi wa Morogoro hawajui kusoma na kuandika vizuri

Hii ni maalumu kwa waluguru
Kwa nchi nzima, hamna kwenye nafuu! Kwani kinondoni na Ilala karibu kabisa na Ikulu wanajua kusoma na kuandika vizuri? Kila mwaka kipindupindu kinatembelea Buguruni kwani ni kwa waluguru hapo? Ujinga na umaskini hauna kabila kiongozi, percent ya wajinga imeongezeka sana kwa sasa japo ilipungua miaka ya 80 na 90.
 
Nimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake.

Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa.

Ndugu zetu?
Upo sahii mkuu I'll tatizo lipo sehemu nyingi ya nchi hii ata ukienda mikoa ya kusini ni shida kubwa.
 
Unazungumzia wa wapi maana moro ni kubwa saana🤣🤣🤣 tuache na maisha yetu na mambo yetu kivyetu vyetu sisi huku kilombero tukishavuna mpunga kuanzia mtoto wa mwaka moja hadi bibi na babu wanawaza tu shughuli za vigodoro habari za shule watajua watu kuja.
 
Back
Top Bottom