Wazawa Wengi wa Morogoro hawajui kusoma na kuandika vizuri

Wazawa Wengi wa Morogoro hawajui kusoma na kuandika vizuri

Nimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake.

Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa.

Ndugu zetu?

Wanajua kuchoma moto milimani, kurogana na kukata mikaa. kama hakutakuwa na juhudi za makusudi za hawa watu kuelimika, Morogoro itakuwa jangwa sooner than later.
Kinole, Mkuyuni, Nziha etc...marvelous areas to make living.
 
Ungesema hawana hela ningekuekewa
 
Asilimia kubwa ni masikini Sanaa,na wanaume utakuta maisha ya kuunga unga ila ameoa wake zaidi ya mmoja

Mtaji pekee mdomo na maneno mengi. Morogoro wazawa original lazima wapende elimu ili mambo yawe tofauti.
Kinachonichosha hata waliosoma nao wanatembea mule mule. Mpaka wengine walikuwa maaskofu wakubwa 😂 😂 😂 😂
 
Nimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake.

Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa.

Ndugu zetu?
Sasa wengi ni wangapi? Pitia sensa ya 2022, acha utafiti uchwara Mkuu🤣🤣
 
Mtaji pekee mdomo na maneno mengi. Morogoro wazawa original lazima wapende elimu ili mambo yawe tofauti.
Kinachonichosha hata waliosoma nao wanatembea mule mule. Mpaka wengine walikuwa maaskofu wakubwa 😂 😂 😂 😂
Nadhani ni wanataaluma wasio elimika
 
Sasa wengi ni wangapi? Pitia sensa ya 2022, acha utafiti uchwara Mkuu🤣🤣
Kwamba huelewi mtu akisema wengi,wachache kadhaa?
Kuanzia 2 ni wengi. Usipotoshe mambo kwa makusudi
Nina wafanyakazi 16 machimbo ulanga wote waluguru 6 hawajui kabisa kusoma na kuandika,10 wanaungaunga,ukiingia huku mtaani wanacheza draft,bao na kunywa kahawa ndio balaa tupu,ndugu zako hawajui bwana wewe
 
Mnaotaka huu uzi uishie hapa hamuwatakii wenzenu wa Moro wawe wajuzi wa KKK, mnataka wawe chini kama soli.
Rai yangu ni kwamba tuendelee kuwasema mpaka waanze kujifunza aeiou.
 
Wazawa Wengi wa Morogoro hawajui kusoma na kuandika vizuri;
NA NDIO MTAJI MKUBWA WA CHAMA KIKUU.
 
Wazawa Wengi wa Morogoro hawajui kusoma na kuandika vizuri;
NA NDIO MTAJI MKUBWA WA CHAMA KIKUU.
Utamkuta kijana mtanashati anaambana na mtu mwingine wa kawaida kuielekea secret ballot, wakifika kijana anaulizwa "unampa nani kura yako" ndipo kwa sauti ya uchangamfu utasikia kijana akisrma "mi ni kijami Tu"😁😁😁
Mungu inusuru morogoro, inusuru mji kasoro bahari.
 
Back
Top Bottom