TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Wanakaa milimani,shule zipo mbali
Wanakuambia mkoa wao una vyuo lukuki ila wasomi wa vyuo hivyo hawana tofauti na waoNimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake.
Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa.
Ndugu zetu?
Nimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake.
Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa.
Ndugu zetu?
Waluguru ni Wazaramo wa bara, damu damu, hawataki shida na hawapendi kukanyaga umande.Nimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake.
Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa.
Ndugu zetu?
Kule milimani shule zipo nishaenda kutembea kule kuelekea Morning siteWanakaa milimani,shule zipo mbali
Haiwezekani.Hawahawa wauza machungwa wetu hawajui kusoma na ku-write miandiko?π€£π€£π€£πNimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake.
Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa.
Ndugu zetu?
Ndiyo Waluguru washindwe kusoma na kuchapisha maandiko?π€£π€£π€£Tanzania ya mama Samia π
Utafiti umeufanyia kwenu?Nimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake.
Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa.
Ndugu zetu?