Wazawa Wengi wa Morogoro hawajui kusoma na kuandika vizuri

kusoma na kuongea ni vitu viwili tofauti, kuna dogo mmoja aliambiwa ukiandika jina lako unapewa gunia la mpunga alikuwa mkali huyo kaona amedharauliwa
Kipindi cha nyuma nilijuaga mtu akijua kuongea basi na kusoma anajua ebhanaeee
Kuna sehemu nilifika watu vijana na viduku vyao kumbe kusoma hawajui
Hii ni maalumu kwa waluguru
 
Nimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake.

Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa.

Ndugu zetu?
Kweli nature ina balance! Yaan kwenye kuongea wanajiweza kweli unaweza ukafikiri umekutana na mtu mjanja wa maana, mwambie sasa hata save namba ya Simu atakavyorukaruka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…