Wazazi 35 kutoka Tunduru wamekatwa baada ya kukutwa wakiwafundisha watoto chini ya miaka 8 mbinu za kufanya tendo la ngono

Wazazi 35 kutoka Tunduru wamekatwa baada ya kukutwa wakiwafundisha watoto chini ya miaka 8 mbinu za kufanya tendo la ngono

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
JUMLA ya wazazi 35 kutoka kata ya Nalasi wilayani Tunduru wamekatwa baada ya kukutwa wakiwafundisha watoto wa kike walio chini ya umri wa miaka 8 mbinu za kuishi na wanaume na kufanya tendo la ngono maarufu kama msondo.

Mkuu wa wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya hiyo alisema, wazazi hao wamekamatwa nyakati za usiku wakiwa wamejifungia kwenye nyumba mmoja wa waliokamatwa katika kijiji cha Nalasi wakiwa na watoto hao.

Alisema, wazazi hao wamekamatwa baada ya kupata taarifa kutoka kwa msamaria mwema kwamba,kuna wazazi wamewaficha watoto wa kike wenye umri mdogo na kuwafundisha mila potofu zinazohusiana na mambo ya ngono ambayo hayapaswi kufundishwa watoto wadogo.

Mtatiro alisema, wazazi hao walikamatwa nyakati za usiku wakiwa na watoto hao wadogo wakiwa katika moja ya nyumba iliyokuwa inatumika kwa shughuli hiyo.

Pia alisema,katika msako huo mbali na wazazi hao wamemkamata Kungwi mmoja,mtendaji wa Rajabu Lusanga na mwenyekiti wa kijiji cha Nalasi Ali Omari ambao wameshindwa kuchukua hatua dhidi ya wazazi hao licha ya kuishi jirani na eneo la tukio hilo.

Kwa mujibu wake shughuli za msondo hazikatwi kufanywa, isipokuwa ni kwa wasichana wakubwa wenye umri zaidi ya miaka 18 na wale wanatarajia kuolewa, badala ya kuwafundisha watoto wadogo ambao hawana uwezo wa kuelewa jambo lolote.

“natoa wito kwa wazazi wote katika wilaya ya Tunduru tabia ya kuwafundisha watoto wadogo namna ya kuishi mama na baba jambo hilo tumelipiga marufuku kwani linachangia sana kuongezeka kwa mimba na wasichana wengi kuacha shule”alisema, Mtatiro.

Alisema, vitendo hivyo vinasababisha watoto wadogo wa kike kukosa haki yao ya kupata elimu na kusisitiza kuwa operesheni hiyo itaendelea katika vijiji mbalimbali hadi pale jamii itakapo acha kufanya vitendo hivyo.

Baadhi ya wakazi wa Tunduru wamepongeza jitihada kubwa zinazo fanywa na Serikali ikiongozwa na Mkuu wa wilaya ya kukomesha baadhi ya mira potofu ambazo zimekuwa chanzo cha kuongezeka kwa mimba kwa watoto wa kike wengine kuacha masomo.

Ali Shaibu mkazi wa Nakayaya alisema,jitihada zinazofanywa na Dc Mtatiro zinapaswa kuungwa mkono na jamii ya watu wa Tunduru kwani zitasaidia kuepusha mimba za utotoni,kupata magonjwa mbalimbali ikiwemo ukimwi na kupoteza vijana ambao ndiyo nguvu kazi ya familia na Taifa.

Awetu Rashid, ameiomba Serikali kuendelea kuchukua hatua ya kukomesha vitendo hivyo ambavyo kwa muda mrefu vimechangia wilaya hiyo kubaki nyuma kielimu na hivyo kuwa maskini licha ya ukweli kwamba imebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi.


1594706480816.png
 
Hii itakuwa ni ile jamii iliyokimbia mfekane war.
Kwao kutelezana siyo big issue. Wanafundishwa toka utotoni kabla ya kupevuka.
Siku ukijichanganya kwa manzi zao, kabla ya game lazima akulize kama umekula na kushiba.
 
Hao wote ni makada wa CCM tatizo lipo wapi?
Nashauri hao wote wapelekwe gereza lenye wafungwa wa kiume wakaoneshe huo ujuzi wao wa kugegedana.
Tunaendelea vizuri na uchumi wa kati.
Tz oyeeeeeee!!!
 
Wazazi wa hao watoto miaka kadhaa ijayo watakuja kusema ooh ona vitengo vyote serikalini vinaongozwa na Wachaga/wahaya etc wkt wenzao wanapeleka shule watoto wao wenyewe walikua bize kufundisha watoto wao namna ya kutoa-mbwaa.
kutoa-mbwaa ahahahaa tafsida iliyoenda shule
 
wamama wa tunduru wanajua kutengeneza assets anajua kabisa hapa baada ya mda Fulani ntakula matunda tunduru oyeeeeeeee
 
Ndomana ukikutana na kitoto cha kusini cha Miaka 15 kwenye sex huwa ni wa watundu sana
Wana mambo makubwa sana, hiyo ilimkuta mhandisi mmoja maana Ana kwambia wakati wa tendo lile yule mtoto alijifunga kitenge wote wawili Yaani hatoki mtu hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Kuna jamii inajifanya wasoooomiiii sanaaa kiasi haya mambo hawana habari nayo na mwisho wa siku wanabanduana wenyewe kwa wenyewe
Na ndio hao hao wanawaambia watoto huo ni mchezo mbaya lakini usiku wao wanaufanya
Kuweni wawazi tu vinginevyo musingezaliwa
 
Back
Top Bottom