Wazazi acheni kulaumu wake zetu, Sisi hatuna Pesa za kuwapa wala hatujalogwa

Kwanza ni raha wife anaposingiziwa makosa yangu ya ubahili.

Tena usiwavuruge wazee, wacha waendelee kuniombea wanajua mwanao nimeshikwa na kamamaa wangu.
 
Kwahiyo masikini wasioane! Kwa maana kuna ule msemo wa “tafuta mume/mke wa levo yako”.
Uko sahihi kila mtu are wa level yake .Ila maskini kwa maskini waliooana changamoto za ndoa ni nyingi sio mchezo
 
Saidieni wazazi wenu vijijini acheni kujenga bar hasta nyie Wanaume wa bongo. Mwaume kajipodoa na sauti kalegeza....tabu tupu!
 
Zamani tulitamani kuzaa watoto wa kiume ni vile tu hatukujua
Uko sahihi... Mtoto wa kike atakufa na wazazi wake, iwe mvua, liwe jua.

Lakini mimi huniambii kitu.. Jukumu langu ni kutunza na kulea watoto wangu, finito!
 
nikukute KITUO CHOCHOTE cha polisi waambie nimekwambia uje! by Makonda
 
Nataman huu ujumbe uwafikie angalau watapunguza lawama na laana kwangu. Umewajengea kanyumba wakat wew mwenyewe una mke na watoto lkn huna nyumba umewajengea wao lkn bado wanakulaumu kila cku inafika mahali inakatisha tamaa unaona liwalo na liwe tu.
 
umeandika msumari mkali!. agiza jojo za 50 nakuja kulipia
 
Tumeni pesa Huko mjini mnakula Raha tuu
Kila mtu apambane na Hali yake..
Watoto wetu wanahitaji matunzo kutoka kwetu

Bado watu Baki wadai kutumiwa pesa kila mwisho wa mwezi..hapana kwa kweli..mume asipotuma lawama zote Ni kwa mke wake eti anazuia pesa isitumwe na hivi sie wengine wamachame bas unaonekana una roho mbaya
 
Taikon mkubwa hakosei!unawasuta Wazazi?
 
Hatujalogwa
Pamoja na yote usisahau japo hata mara moja kumbuka mzazi hata kama hali ngumu vipi kwani chumvi, sukari,kiberiti, sabuni bei gani.elf 10 kwa mzazi kijijini ni kubwa Sana na utapata thawabu tele. Kusaidia sio umpe gari au upate nyingi maana huna garantii na maisha yake. Ukingojea nyingi kesho akaondoka je
 
Taikon mkubwa hakosei!unawasuta Wazazi?


Siwasuti nawaambia ukweli.

Maana Sisi Wazazi wengine tusipotumiwa pesa tunawalaumu ninyi wake za watoto wetu. Wakati ninyi kumbe huko mjini mnahenyeka hamna kazi ya maana.

Je Hilo kwako ni Sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…