Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #61
Kila mtu apambane na Hali yake..
Watoto wetu wanahitaji matunzo kutoka kwetu
Bado watu Baki wadai kutumiwa pesa kila mwisho wa mwezi..hapana kwa kweli..mume asipotuma lawama zote Ni kwa mke wake eti anazuia pesa isitumwe na hivi sie wengine wamachame bas unaonekana una roho mbaya
umeandika msumari mkali!. agiza jojo za 50 nakuja kulipia
Nataman huu ujumbe uwafikie angalau watapunguza lawama na laana kwangu. Umewajengea kanyumba wakat wew mwenyewe una mke na watoto lkn huna nyumba umewajengea wao lkn bado wanakulaumu kila cku inafika mahali inakatisha tamaa unaona liwalo na liwe tu.
Na jua Ni Kali hasa mwenye viunga vya majiji yetu.......sisi wake zenu tunavumilia maneno yote tunayobebeshwa kwa kuwa hatujui walikulea kwa tabu zipi...sisi Ni Kama kipanga tumewakwapua tu mikononi mwao....tafadhali watumie chochote ulichonachoSiwasuti nawaambia ukweli.
Maana Sisi Wazazi wengine tusipotumiwa pesa tunawalaumu ninyi wake za watoto wetu. Wakati ninyi kumbe huko mjini mnahenyeka hamna kazi ya maana.
Je Hilo kwako ni Sawa?
Na jua Ni Kali hasa mwenye viunga vya majiji yetu.......sisi wake zenu tunavumilia maneno yote tunayobebeshwa kwa kuwa hatujui walikulea kwa tabu zipi...sisi Ni Kama kipanga tumewakwapua tu mikononi mwao....tafadhali watumie chochote ulichonacho
Hivi kikomo cha mzazi kumuhudumia mtoto wake ni kitu gani? Maana naona wazazi wa kitanzania ukishamaliza Chuo ukipata kazi bila kujali mshahara n mkubwa au mdogo na yeye ndio mwisho wa kukuhudumia..
namuongelea mzazi,naomba kujua kikomo chake n kipi maana nina mwaka wa 5 mama hajantumia pocket money sijui anahisi mimi n mtoto wa nani,kukaa kwangu kimya mimi sio mjinga Nahitaji huduma yake bado
Ha haaaaaa makubwaKila mtu apambane na Hali yake
Kutuma Pesa kwa wazazi sio njia pekee ya kuwahudumiaTuma Pesa Kwa wazazi wewe. Acha kulialia
Ha haaaaaa makubwa
Kutuma Pesa kwa wazazi sio njia pekee ya kuwahudumia
Ukianza wewe mwenye Wazazi wako ubandidu hivi Mimi nikiweka ukauzu utasema Nina roho mbaya sipendi ndugu wa mumeππππππ
Unafikiri nawaonea Wazazi wangu (Wakwe zako).
Ndivyo walivyonifunza hivyoππ
Ukianza wewe mwenye Wazazi wako ubandidu hivi Mimi nikiweka ukauzu utasema Nina roho mbaya sipendi ndugu wa mumeππ
Respect umetoa idea ambayo ningekuwa mwandishi wa vitabu ningeandika riwaya na kuipa jina "mtegemezi ketegemewa " naamini ingefundisha sana ila kweli wewe ni taikun wa fasihi ushaur kwako unakipaji kitumie vizuri utakuwa mwanagenz mzuri sana
Mkuu wazazi wamekusikia,, na sisi mabraza wa miaka 40 pia tumekuelewa vizuri sana..
Vijana tutafute pesa tuwaondolee umasikini hata wazazi wetu.,,kama sio kupunguza
Infact umesema ukweli ambao wengi hawazungumziiiiii,,.. Vijana wenyewe ndio hawana hela,, waache kusingizia wake zao
Ok,
Ila inauma sana kushindw kuprovide.
Ee Mola nifanyie wepesi.