Upendo wa mzazi kwa mtoto ni siri ya mzazi..
Nilikuwa nafuata na kufanya lolote ninaloambiwa na mzaz
Kuna kakangu alikuwa mhun hamjali mzaz n.k
Siku nimepata shida nilitukanwa na kubezwa wakti niliwa naugulia maumivu nkasikia yule kakang asiyemjali mzazi kasaidiwa vema kenye shida zake.