Kuna wazazi wanazingua Sana!
Wako bize na wanao wa kiume kuwafundisha kupika.
Mwanaume amepewa jukumu kubwa mno la kuitawala Dunia. Jukumu hili linamtaka mtoto wa kiume awe strong mentally and physically.
Mtoto wa kiume achukue muda mwingi kujengewa misingi ya uongozi, utawala, ubunifu na ujenzi wa maisha.
Upishi ni advantage ktk maisha ya mtoto wa kike si wakiume. Mtoto wa kiume hatashindwa kupika ktk maisha ya baadae Kama akiamua kuwa mpishi! Kwa sababu upishi ni Sanaa ambayo imeanzishwa na mwanamume hapo kale.
Ikumbukwe hakuna jambo hapa duniani, iwe Sanaa, sayansi, falsafa ama ufundi ambalo limeanzishwa na kuletwa na mwanamke.
Yote yanayoendelea duniani Ni Mali ya mwanamume, na mwanamke anashiriki kuyafanya Kama mshirika na msaidizi wa mwanamume.
Kuna mtu atasema hapa eti Ni dhana ya mfumo dume, khaa, Sasa ulitaka mfumo jike? Hii Dunia imeumbwa kwa mfumo dume shosti.
Wanawake wabuni sayansi, teknolojia, falsafa, ufundi, biashara Kisha waanze kudai usawa!
Mwanamke ana haki ya kudai UPENDO kutoka kwa mwanaume na si HAKI SAWA!