Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
Uzi huu umeandikwa na Mtu mwenye Njaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WTFSasa ulitaka mfumo jike? Hii Dunia imeumbwa kwa mfumo dume shosti!
1.With vivid example explain how kupika kuna legeza mtu!?Katika vitu ambavyo sijutii kutofundishwa ni kupika na katika kitu ambacho sitokuja kumfundisha mwanangu ni kupika.
Kama kupika utapika lakini sio lazima kufundishwa na mzazi.
Kila kiumbe aplay role yake mimi nitatafuta then mwanamke atapika considering kuna mabillion ya wanawake.
Seriously yaani mtoto wa kiume anakalia kigoda kukuna nazi na anashikishwa mwiko na mama yake huku akikoroga uji? No way.
Si ajabu kukuta kuna vijamaa vimelegea mikono na ukipiga tano kwa nguvu anaguna kabisa, dude?
Hauhitaji mfano kuonesha hicho kitu. mtoto yoyote anakuwa kutokana na mazingira na malezi yake ya utotoni.1.With vivid example explain how kupika kuna legeza mtu!?
2. kukuna nazi ni kupika?
Point ni sio lazima kwa mtoto wa kiume kupika wala kupewa ratiba za kupika akishindanishwa na dada zake.Mpaka sasa hakuna hata mtu mmoja aliekusupport kwenye thread yako.
Kama una akili timamu utajitafakari na utagundua kua bado ubongo wako haujatambua kazi yake ndani ya kichwa chako.
Cooking is a life skill and not a gender role. Ni muhimu watoto woote wajue.
Nyue ndo mlienda shule kujifunza jinsi ya kushika kalamu tu.
Hopeless.🤧
Katika kitabu cha mithali kinasema hata mjinga akinyamaza uhesabiwa hekima.Katika vitu ambavyo sijutii kutofundishwa ni kupika na katika kitu ambacho sitokuja kumfundisha mwanangu ni kupika.
Kama kupika utapika lakini sio lazima kufundishwa na mzazi.
Kila kiumbe aplay role yake mimi nitatafuta then mwanamke atapika considering kuna mabillion ya wanawake.
Seriously yaani mtoto wa kiume anakalia kigoda kukuna nazi na anashikishwa mwiko na mama yake huku akikoroga uji? No way.
Si ajabu kukuta kuna vijamaa vimelegea mikono na ukipiga tano kwa nguvu anaguna kabisa, dude?
What's this all about?Katika kitabu cha mithali kinasema hata mjinga akinyamaza uhesabiwa hekima.
Kwanza katika maisha ya kisasa hakuna jiko la kukalia kigoda ni majiko unapika ukiwa umesimama.
Kama ni mpenzi wa mpishi ya nazi siku hizi masoko yote wana mashine za sido za kukunia nazi unalipa sh 100 tu.
Humu comment za vijana kula kulala kuweka bundle kushinda mitandaoni utazijuwa tu.
Huku kwetu mikoani hatuni nazi, hayo mambo yenu hukoHauhitaji mfano kuonesha hicho kitu. mtoto yoyote anakuwa kutokana na mazingira na malezi yake ya utotoni.
Na iko wazi kupika ni sifa ya mwanamke.
Mtoto mdogo wa kiume kuanza kumpa ratiba za kupika tayari ushamuondolea ile mindset yake ya kiume na atakuwa hivyo'hivyo.
Kama kupika atajifunza ukubwani na wala sio big deal.
Kukuna nazi ni kupika? wewe unadhani kazi ya nazi ni nini?
Hauwezi kumfananisha mtoto wa kiume aliyefundishwa domination na aliyefundishwa kupika pia kupewa ratiba za kupika.
Unakaujinga flani kumbe upo hapa kushindana sio kuelimishanaWhat's all about?
Unaona kinachotokea ukifundishwa kupika na kupewa ratiba za kupika wakati upo mtoto?
Mtoto wa kiume sio lazima na wala hatakiwi kufundishwa kupika wala kupewa ratiba za kupika, hayo atafaya kwa utashi wake baadae baada ya kupata lessons za maisha.
That's it.
Haya wewe unaejua kupika umenizidi nini and where or what is the point?
I don't care what you think.Unakaujinga flani kumbe upo hapa kushindana sio kuelimishana
Nyie ndo mmekurupuka na mawazo yenu ya kileo mtoto wa kiume kuwekwa chini eti unamfundisha kupika si sawa. mwanaume anapika ila si kwa mafunzo rasmi.Mpaka sasa hakuna hata mtu mmoja aliekusupport kwenye thread yako.
Kama una akili timamu utajitafakari na utagundua kua bado ubongo wako haujatambua kazi yake ndani ya kichwa chako.
Cooking is a life skill and not a gender role. Ni muhimu watoto woote wajue.
Nyiue ndo mlienda shule kujifunza jinsi ya kushika kalamu tu.
Hopeless.🤧