Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Unabaki shangaaKupika ni kwa faida yake. Yaani unakuta kidume hata chips hakijui kukaanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unabaki shangaaKupika ni kwa faida yake. Yaani unakuta kidume hata chips hakijui kukaanga
Wanaopika kwenye mahoteli ni akina nani?Kuna wazazi wanazingua Sana!
Wako bize na wanao wa kiume kuwafundisha kupika!
Mwanaume amepewa jukumu kubwa mno la kuitawala Dunia. Jukumu hili linamtaka mtoto wa kiume awe strong mentally and physically!
Mtoto wa kiume achukue muda mwingi kujengewa misingi ya uongozi, utawala, ubunifu na ujenzi wa maisha
Upishi ni advantage ktk maisha ya mtoto wa kike si wakiume
Mtoto wa kiume hatashindwa kupika ktk maisha ya baadae Kama akiamua kuwa mpishi! Kwa sababu upishi ni Sanaa ambayo imeanzishwa na mwanamume hapo kale! Ikumbukwe hakuna jambo hapa duniani, iwe Sanaa, sayansi, falsafa ama ufundi ambalo limeanzishwa na kuletwa na mwanamke!
Yote yanayoendelea duniani Ni Mali ya mwanamume, na mwanamke anashiriki kuyafanya Kama mshirika na msaidizi wa mwanamume!
Kuna mtu atasema hapa eti Ni dhana ya mfumo dume, khaa, Sasa ulitaka mfumo jike? Hii Dunia imeumbwa kwa mfumo dume shosti!
Wanawake wabuni sayansi, teknolojia, falsafa, ufundi, biashara Kisha waanze kudai usawa!
Mwanamke ana haki ya kudai UPENDO kutoka kwa mwanaume na si HAKI SAWA!
Humu kuna wachangiaji wengi ni kula kulala tena wengine wanaishi kwa shemeji zao hamna walijuwalo.Mwanangu nitamfundisha kupika hakuna namna.
Chefs ni wanaume hotel zote, humu kuna vijana akili zao ni shake well before use.Wanaopika kwenye mahoteli ni akina nani?
!!!.NapitaKuna wazazi wanazingua Sana!
Wako bize na wanao wa kiume kuwafundisha kupika!
Mwanaume amepewa jukumu kubwa mno la kuitawala Dunia. Jukumu hili linamtaka mtoto wa kiume awe strong mentally and physically!
Mtoto wa kiume achukue muda mwingi kujengewa misingi ya uongozi, utawala, ubunifu na ujenzi wa maisha
Upishi ni advantage ktk maisha ya mtoto wa kike si wakiume
Mtoto wa kiume hatashindwa kupika ktk maisha ya baadae Kama akiamua kuwa mpishi! Kwa sababu upishi ni Sanaa ambayo imeanzishwa na mwanamume hapo kale! Ikumbukwe hakuna jambo hapa duniani, iwe Sanaa, sayansi, falsafa ama ufundi ambalo limeanzishwa na kuletwa na mwanamke!
Yote yanayoendelea duniani Ni Mali ya mwanamume, na mwanamke anashiriki kuyafanya Kama mshirika na msaidizi wa mwanamume!
Kuna mtu atasema hapa eti Ni dhana ya mfumo dume, khaa, Sasa ulitaka mfumo jike? Hii Dunia imeumbwa kwa mfumo dume shosti!
Wanawake wabuni sayansi, teknolojia, falsafa, ufundi, biashara Kisha waanze kudai usawa!
Mwanamke ana haki ya kudai UPENDO kutoka kwa mwanaume na si HAKI SAWA!
Me too nilijikuta napika tu na sikuwahi funzwa.Mwanaume mtu mzima anaweza kupika bila mafundisho ya utotoni, hapo ndo utajua kuwa kumfundisha nyumbani mtoto wa kiume Ni kupoteza muda
Safi sana. Kuna watu hawapa wanaona kujifunza kupika ni kama itawaondolea uanaume wao kitu ambacho naona si kweli. Nawaza kijana wa kiume leo hii akianza kujitegemea na hajui kupika ina mana atakua anakula migahawan siku zote? Anyways tunaambiwa kila mtu na chaguo lake.Humu kuna wachangiaji wengi ni kula kulala tena wengine wanaishi kwa shemeji zao hamna walijuwalo.
Kwa mfano mimi binafsi hawa tunaowaita wadada wa kazi wamenisumbuwa sana achilia mbali kuwabadirisha au anakuja huyu anakaa wiki anataka kuondoka kumbe ulitumioa tu kumleta mjini na saa nyingine unatuma nauli unaliwa vilevile, sasa nimeamuwa hivi.
Watoto wakubwa wako boarding, mtoto mdogo yupo day lakini anashinda shuleni anarudi jioni kabisa kwahiyo nyumbani tunapika usiku tu au nanunuwa take away hakuna kupika.
Sihitaji wala sifikilii kuleta house girl, usafi ni mara moja kwa wiki anakuja dada anafuwa anaosha vyombo anapiga deki nyumba namlipa cash yake anatambaa, siku za kawaida kufagia nyumba hakunishindi nafagia mimi au wife yeyote atakayehisi kuna michanga ndani.
Kwahiyo kwangu wala hatuhitaji mpishi na wakubwa wakirudi likizo wanapika wenyewe mchana au mama yao kabla ya kwenda job akiamka mapema awapikie ubwabwa full suti, binafsi kama nakuwa home vyakula vyangu ni michemsho tu wala havina mambo mengi ni nyama au samaki viazi ndizi na viungo unachanganya pamoja unakadiria maji, unaweka chumvi unatia na mafuta machache unawasha gesi ngoma inajipika yenyewe, hivi hapo shida iko wapi? Ukiona mimi nanunuwa chips ujuwe ni dharura tena ni usiku inanibidu tu.
[emoji23]Weakman katika ubora wake
Si kila chakula unaweza kupata kwenye migahawa yetu ya mitaani.Safi sana. Kuna watu hawapa wanaona kujifunza kupika ni kama itawaondolea uanaume wao kitu ambacho naona si kweli. Nawaza kijana wa kiume leo hii akianza kujitegemea na hajui kupika ina mana atakua anakula migahawan siku zote? Anyways tunaambiwa kila mtu na chaguo lake.
Twende taratibu nione kama hizo akili unazo kweli, unaelewa mshahara wa Chef hotelini ni kiasi gani?Wengi wanaokushambulia labda ni kwa sababu umewaita shosti, of which has nothing to dilute the truth…. hoja yako ni ya msingi na inahitaji watu timamu tu [sio wingi] kukuunga mkono.
Mwanamme huwezi kusimama popote ukajivunia ujuzi wa kupika, labda kama ni kazi yako rasmi inayokupa maisha…. sasa ya nini kukomalia?
Ukiwa na akili timamu tu, suala la kupika ni kitu kidogo mno ambacho haipaswi kuwa ishu ya kufundishwa tangu utotoni…. kuna mambo mengi ya msingi kwa mtoto wa kiume kujifunza lakini sio UPISHI.
Weakness yake ipo wapi?Kutumia muda mwingi kumfundisha mvulana kupika ni uzembe.Afundishwe kwa muda wa ziada.Siyo lazima.Mwanaume akikosa msosi anaruhusiwa kumsumbua "mpishi"!
Humu JF kuna kila aina ya watu usikute mtoa mada sasa hivi yupo anasugua masufuriaWenye akili kama zako chuo hulazimika kuishi na mademu, akiachana na huyu leo kesho ana mwingine ili apikiwe na kufuliwa. Kushiriki kutoa mimba ndio wanaongoza, kuoa ile sogea tukae wote ni wao, kuteswa na mapenzi ni wao.
Mimi sikufundishwa kupika ila kuna muda house maid aliondoka nikawa narudi siku nyingine sikuti chakula. Bites huwa sioni kama ni mlo nikajifunza kupika kwa siri nikajua na siku moja ndio nikapika cha watu wengi wakashangaa.
Kila kiumbe hai kina sifa kuu 7 (characteristics) ambazo ni lazima uzitimize kuishi. Nutrition, respiration, movement, reproduction, sensitivity, growth na excretion. Hizo zote bila kufundishwa unaweza jua ila ukifundishwa si vibaya. Wanyama hufundisha watoto wao skills za kuwinda ambazo tiyari zishaonekana ni sahihi.
Usiseme ni advantage ya mwanamke kujua kupika labda useme ukoo wenu wanaume huwa wanakula mawe. Kujua kupika hatupunguzi wala kuondoa lolote kwa mwanaume, sio jambo la ajabu maana hata kula sio ajabu wala siri. Viungo vinavyotumika kupika viko jinsia zote, hatutumii ovaries kubandika sufuria. Wewe unachukulia kupika kama kunyonyesha
[emoji23][emoji23]Humu JF kuna kila aina ya watu usikute mtoa mada sasa hivi yupo anasugua masufuria
Umenena!Hata Mimi nilitaka kuandika hivihivi Kwa sababu niliangalia kwanza avatar yake.Huyu mtu ni dhaifu,kama lilivyo jina lake Kumbe majina husadifu undani wa watu.