Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Sasa wanapika kwa msingi wa kwamba ni ajira yao na wanalipwa au wanapika kwa msingi wa kwamba jinsia ya kiume inajukumu la kupikia familia yaani mke na watoto kupikiwa na baba?!Mzee Kuna wanaume wangapi Leo hii wanaendesha familia zao kwa kupika....? Na Kuna mabilionea wangapi walio patikana kwa kupika. ...?
Open up
Sent using Jamii Forums mobile app