Wazazi, acheni kuwapotezea muda watoto wa kiume kuwafundisha kupika!

Wazazi, acheni kuwapotezea muda watoto wa kiume kuwafundisha kupika!

Humu kuna wachangiaji wengi ni kula kulala tena wengine wanaishi kwa shemeji zao hamna walijuwalo.

Kwa mfano mimi binafsi hawa tunaowaita wadada wa kazi wamenisumbuwa sana achilia mbali kuwabadirisha au anakuja huyu anakaa wiki anataka kuondoka kumbe ulitumioa tu kumleta mjini na saa nyingine unatuma nauli unaliwa vilevile, sasa nimeamuwa hivi.

Watoto wakubwa wako boarding, mtoto mdogo yupo day lakini anashinda shuleni anarudi jioni kabisa kwahiyo nyumbani tunapika usiku tu au nanunuwa take away hakuna kupika.

Sihitaji wala sifikilii kuleta house girl, usafi ni mara moja kwa wiki anakuja dada anafuwa anaosha vyombo anapiga deki nyumba namlipa cash yake anatambaa, siku za kawaida kufagia nyumba hakunishindi nafagia mimi au wife yeyote atakayehisi kuna michanga ndani.

Kwahiyo kwangu wala hatuhitaji mpishi na wakubwa wakirudi likizo wanapika wenyewe mchana au mama yao kabla ya kwenda job akiamka mapema awapikie ubwabwa full suti, binafsi kama nakuwa home vyakula vyangu ni michemsho tu wala havina mambo mengi ni nyama au samaki viazi ndizi na viungo unachanganya pamoja unakadiria maji, unaweka chumvi unatia na mafuta machache unawasha gesi ngoma inajipika yenyewe, hivi hapo shida iko wapi? Ukiona mimi nanunuwa chips ujuwe ni dharura tena ni usiku inanibidu tu.
So unaishi kisela na mkeo na watoto. Wageni wakija mnaishi nao vipi?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chefs ni wanaume hotel zote, humu kuna vijana akili zao ni shake well before use.
Hiyo inarelate na hii topic. Chiefs ni purely professional food makers that is rewarded a salary au wage but wife cooking is a form of gender service to the family the rewards for it is not a salary but marriage or family benefits for a wife.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana. Kuna watu hawapa wanaona kujifunza kupika ni kama itawaondolea uanaume wao kitu ambacho naona si kweli. Nawaza kijana wa kiume leo hii akianza kujitegemea na hajui kupika ina mana atakua anakula migahawan siku zote? Anyways tunaambiwa kila mtu na chaguo lake.
Hakuna mtu anasema mwanaume asijifunze kupika kama atapenda but ni absurd kufikiri kuwa ni wakati sasa watoto wa kiume wawe trained kupika as a mandatory life skill kwao wanayohitaji katika ndoa na mahusiano. That is a complete rubbish can [emoji3054].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kila chakula unaweza kupata kwenye migahawa yetu ya mitaani.

Kuna muda una choice zako unataka ule nini, tena hawa wajinga wanaotaka kupotosha dhana hii unaweza kukuta jitu limeshinda njaa, kwenye fliji kuna kuku mbichi au nyama mbichi, tangawizi ipo, vitunguu swaumu vipo, limao lipo jiko lagesi na umeme lenye oven chini lipo lakini hajui hata kuhoka nyama au kuku kwenye oven wakati inajiivisha yenyewe tu, unachemsha ndizi pembeni bonge la msosi. Sasa vitu rahisi kama hivi hawa watoto hawataki wafundishwe ni msiba kwakweli.

Sasa wazungu wametengeza mpaka rice cooker sufuria la umeme wali unajipika wenyewe, yani kukadiria maji tu na chumvi na mafuta kisha baada ya dakika kadhaa kugeuzageuza hapo shida iko wapi?

Basi watoto wa hivi hata kuandaa matunda hawatoweza, italeta tikiti maji na avocado na bado mtu atashindwa kuandaa kwenye sahani, mimi mtoto wa hivyo labda atumie ubini wa mama yake lakini siyo jina langu.
Namna umeongea hapa utaona ni dhahiri unazungumzia case ya emergency. Huyo kuku hawezi kuoza katika friji kwa siku mbili au tatu. Njaa ya siku moja haiui. Plus hana haja ya kufa atakwenda kula kwa mama ntilie the next day atampigia girlfriend wake aje wapike wale chakula kizuri.

Why mtoto wa kiume awe anakaa jikoni kupika kama part of his daily chores and home tasks. Thats absurd.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wanaokushambulia labda ni kwa sababu umewaita shosti, of which has nothing to dilute the truth…. hoja yako ni ya msingi na inahitaji watu timamu tu [sio wingi] kukuunga mkono.

Mwanamme huwezi kusimama popote ukajivunia ujuzi wa kupika, labda kama ni kazi yako rasmi inayokupa maisha…. sasa ya nini kukomalia?

Ukiwa na akili timamu tu, suala la kupika ni kitu kidogo mno ambacho haipaswi kuwa ishu ya kufundishwa tangu utotoni…. kuna mambo mengi ya msingi kwa mtoto wa kiume kujifunza lakini sio UPISHI.
Kabisa. Maybe akiwa anataka kuget them draws. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twende taratibu nione kama hizo akili unazo kweli, unaelewa mshahara wa Chef hotelini ni kiasi gani?

Kwamba unataka kutuaminisha wanaosomea hotel management ni wapuuzi watupu na wanatowa huduma za catering hamnazo?
Hao ni professional cooks. Kama vile wanaoosha magari si kwamba wewe hauwezi kuosha gari yako. Au dobi haimaanishi huwezi fua.

These people live for this as their jobs and occupation.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye akili kama zako chuo hulazimika kuishi na mademu, akiachana na huyu leo kesho ana mwingine ili apikiwe na kufuliwa. Kushiriki kutoa mimba ndio wanaongoza, kuoa ile sogea tukae wote ni wao, kuteswa na mapenzi ni wao.

Mimi sikufundishwa kupika ila kuna muda house maid aliondoka nikawa narudi siku nyingine sikuti chakula. Bites huwa sioni kama ni mlo nikajifunza kupika kwa siri nikajua na siku moja ndio nikapika cha watu wengi wakashangaa.

Kila kiumbe hai kina sifa kuu 7 (characteristics) ambazo ni lazima uzitimize kuishi. Nutrition, respiration, movement, reproduction, sensitivity, growth na excretion. Hizo zote bila kufundishwa unaweza jua ila ukifundishwa si vibaya. Wanyama hufundisha watoto wao skills za kuwinda ambazo tiyari zishaonekana ni sahihi.

Usiseme ni advantage ya mwanamke kujua kupika labda useme ukoo wenu wanaume huwa wanakula mawe. Kujua kupika hakupunguzi wala kuondoa lolote kwa mwanaume, sio jambo la ajabu maana hata kula sio ajabu wala siri. Viungo vinavyotumika kupika viko jinsia zote, hatutumii ovaries kubandika sufuria. Wewe unachukulia kupika kama kunyonyesha
Bado mnafeli kuestablish connection kati ya swala la kujifunza kupika na maisha ya mwanaume. Ni sawa kusisitiza mtu asomee uvuvi wakati anatokea nchi isiyo na water bodies wala bahari. Sasa hiyo skill ataiacquire kwa faida gani na yeye hana shida nayo katika safari yake ya maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena!Hata Mimi nilitaka kuandika hivihivi Kwa sababu niliangalia kwanza avatar yake.Huyu mtu ni dhaifu,kama lilivyo jina lake Kumbe majina husadifu undani wa watu.
Anaweza kuwa dhaifu ila hoja yake ni ya msingi. Hukuwahi sikia ile story ya mtoto mdogo waliyeshinda vita dhidi ya majeshi laki 3 kwa kutumia ua?!

Anyways ntaihadithia siku nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwetu tarime mtoto wa kiuume haruhusiwa kupita karibu na jiko lilipo
siku moja babu mzaa mama almanusura awchomee moto watoto wake wa kiume alipowakuta jikoni wako na mama yao
alifunga kamlango akawasha moto, bahati yao kamlango kalikuwa weak
Ni mojawapo ya mbinu za kiumeni za kuwafundisha wanaume uimara na kutambua mipaka ya kitabia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nadhani imefika mda watoto wa kiume waanze kufundishwa na tactics za uchakataji,,,sio unakuta toto la kiume ziiiito kwenye mademu mwishowe yanakuwa mapunga
Mtoto wa kiume anafundishwa kukata nyanya na vitunguu. Mwisho wa siku anakuwa vizuri hadi anamshinda mkewe wanagombana ndoa haidumu anakuja kuwa marioo anakutana na jimama lifanya biashara linamuweka ndani linakuwa likirudi linamwita honey, umenipikia nini leo dear?!

PATHETIC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongelea sehemu ambazo ni uncivilized siwezi kulishangaa hilo.

Ukienda kule ziwani upande wa Rolya mpaka leo jamii kubwa haijuwi umuhimu wa vyoo wanakwenda kunya ziwani tena wakiwemo na wasichana wazuri kabisa.

Kuna jamii kwanza huwezi kuamini kama hawa ni Watanzania yani kijiji kizima hakuna mwenye choo sasa hao watu si wanahitaji elimu kubwa zaidi ya hii?

Halafu kichekesho kuna msomi mkubwa sana yupo wall street John Mashaka anatokea huko.[emoji1][emoji1]
How is Civilization related to Reverse genderism mkuu you seem off point with your comments.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali ni kama kupika sio kitu cha kushangaza kwa mwanaume.
Then ni kwanini wapishi wa utotoni mnahangaika kujitetea kwa nguvu?

Mna mashaka na maamuzi ya wazazi wenu na mko insecure?
Bila shaka ni hivyo hivyo.
Very true. Wameshtuka tayari too late wanashangaa inakuwaje tumeambiwa tofauti halafu tunakuta tofauti ndio wanabisha. Hii inaitwa 'cognitive dissonance behavior'.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom