Mpaka sasa hakuna hata mtu mmoja aliekusupport kwenye thread yako.
Kama una akili timamu utajitafakari na utagundua kua bado ubongo wako haujatambua kazi yake ndani ya kichwa chako.
Cooking is a life skill and not a gender role. Ni muhimu watoto woote wajue.
Nyue ndo mlienda shule kujifunza jinsi ya kushika kalamu tu.
Hopeless.[emoji1784]
Easy tiger, don't snap like u are getting paid for it.
Kimsingi everything in this life is a life skill at first. Kila unachojifunza kufanya katika haya maisha ni life skill kwasababu inakusaidia katika survival ili uendelee kuishi salama na kuboreka.
But at some point we can't do all and every life skill we have chosen to learn at some point in life. We let others perform or stick with that life skill for us or our behalf so that we can be able to invest in another life skill to better our life and continue with our existence.
Tukirudi katika eneo la gender role, it is a very simple topic and highly exaggerated na kuwa complicated now days while its simple hata wanyama wanaielewa.
Gender role si social construct kama wehu wa mataifa ya magharibi especially feminists wanavyojaribu kuibadili now days.
Gender role is a completely and purely scientific phenomenal that relates to our biological differences and social interdependence nature.
Hoja ya kusema kupika ni life skill halafu kuitumia kufunika issue ya Gender role ni kujaribu kuignore ukweli wa kiasili wa uumbaji na uwepo wa tofauti za kibaiolojia zilipo kati ya mwanaume na mwanamke na namna ziliumbwa kusaidia katika functionality ya majukumu ya mwanadamu katika kujicontrol na kucontrol viumbe wengine wote hapa Duniani.
Tazama kitendo cha mwanamke kuacha kukaa nyumbani na kuanza kuhangaika na maisha baada ya technology ya sasa kirahisisha maisha, kimebadili na kuleta 'repercussion' katika eneo la ndoa, malezi, afya ya jamii, mabidiliko ya tabia za kijinsia (ushoga, umarioo), uchumi (ajira, kipato, mifumuko ya bei, aina ya bidhaa sokoni),maadili,idadi ya watoto katika familia,ubora na uimara wa familia, etc.
Kimsingi u seem to lack the true concept of genderism, na umekuwa manipulated kufikiria a simple change in a very small natural role hakutakuwa na madhara katika every other components na general aspect ya ustawi wa jamii.
Go back and study to understand not to spoon-feed your mind my friend. There is a lot of miseducation happening globally now, this is one of the absurd and nonsense spread in the name of Gender intentity and revaluation of gender roles (reverse genderism actually).
Hint. Unajua hao wanaokufundisha hizi nonsense ndio now wanafundisha watoto wadogo kuwa kuna Gender zaidi ya mbili, yaani Male, female, Binary, na sijui Queers? Sijui kama unafuatilia.
Sent using
Jamii Forums mobile app