Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Naona members wa kikundi cha mambo machafu na dhambi mkipeana support, sijui kwanini mnajari sana mambo ya support.LoL I didn't know that!
Umeharibu hapo kwenye shostii...ninamashakaKuna wazazi wanazingua Sana!
Wako bize na wanao wa kiume kuwafundisha kupika!
Mwanaume amepewa jukumu kubwa mno la kuitawala Dunia. Jukumu hili linamtaka mtoto wa kiume awe strong mentally and physically!
Mtoto wa kiume achukue muda mwingi kujengewa misingi ya uongozi, utawala, ubunifu na ujenzi wa maisha
Upishi ni advantage ktk maisha ya mtoto wa kike si wakiume
Mtoto wa kiume hatashindwa kupika ktk maisha ya baadae Kama akiamua kuwa mpishi! Kwa sababu upishi ni Sanaa ambayo imeanzishwa na mwanamume hapo kale! Ikumbukwe hakuna jambo hapa duniani, iwe Sanaa, sayansi, falsafa ama ufundi ambalo limeanzishwa na kuletwa na mwanamke!
Yote yanayoendelea duniani Ni Mali ya mwanamume, na mwanamke anashiriki kuyafanya Kama mshirika na msaidizi wa mwanamume!
Kuna mtu atasema hapa eti Ni dhana ya mfumo dume, khaa, Sasa ulitaka mfumo jike? Hii Dunia imeumbwa kwa mfumo dume shosti!
Wanawake wabuni sayansi, teknolojia, falsafa, ufundi, biashara Kisha waanze kudai usawa!
Mwanamke ana haki ya kudai UPENDO kutoka kwa mwanaume na si HAKI SAWA!
Nimesoma comment naona kuna upinzani mkubwa sana but wengi hawajaelewa mzizi wa hoja yako. Sababu ya upotofu mkubwa wa kimaadili na kijamii uliosambazwa miaka ya hivi karibuni na hawa wanaojiita watetea haki za wanawake bila kujua wanabebelea hoja za mataifa ya kimagharibi kundi la liberals leftists.Kuna wazazi wanazingua Sana!
Wako bize na wanao wa kiume kuwafundisha kupika!
Mwanaume amepewa jukumu kubwa mno la kuitawala Dunia. Jukumu hili linamtaka mtoto wa kiume awe strong mentally and physically!
Mtoto wa kiume achukue muda mwingi kujengewa misingi ya uongozi, utawala, ubunifu na ujenzi wa maisha
Upishi ni advantage ktk maisha ya mtoto wa kike si wakiume
Mtoto wa kiume hatashindwa kupika ktk maisha ya baadae Kama akiamua kuwa mpishi! Kwa sababu upishi ni Sanaa ambayo imeanzishwa na mwanamume hapo kale! Ikumbukwe hakuna jambo hapa duniani, iwe Sanaa, sayansi, falsafa ama ufundi ambalo limeanzishwa na kuletwa na mwanamke!
Yote yanayoendelea duniani Ni Mali ya mwanamume, na mwanamke anashiriki kuyafanya Kama mshirika na msaidizi wa mwanamume!
Kuna mtu atasema hapa eti Ni dhana ya mfumo dume, khaa, Sasa ulitaka mfumo jike? Hii Dunia imeumbwa kwa mfumo dume shosti!
Wanawake wabuni sayansi, teknolojia, falsafa, ufundi, biashara Kisha waanze kudai usawa!
Mwanamke ana haki ya kudai UPENDO kutoka kwa mwanaume na si HAKI SAWA!
Explain how idea zake zipo weak. Cause so far hapa ni wewe ndie mwenye weak perception about how gender roles work.
Very good umesema vema sana mnaotembea nchi za watu. Sio kila unachokuta katika mataifa ya watu basi ni cha kuiga ama kitafaa kwa taifa na jamii yako.Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, mzazi anayemfundisha kupika mtoto wa kiume anaona mbali sana.
Tuliotembeatembea nchi za watu tunaelewa vizuri umuhimu wa kujuwa kupika, ukienda super market kwa ajili ya purchase ya groceries ukirudi home unatalajia akupikie nani na kwenu hukufundishwa kupika? Au unadhani mamtoni watu wanakula tu juke food kila siku za MacDonald?
Good for you. Ila utuambie for what benefit? Cause i guarantee you mwanaume ambaye anafikiria kupika then ana muda mchache sana wa kung'amua mbinu za kukua kiuchumi.Wa kwangu atajifunza tu kwakweli...
Hebu relate na topic halafu useme mgando upo eneo gani?!Mawazo mgando
Unaweza kuestablish ni wapi amekuwa weak?! Kimsingi jamii ya kisasa inasikiliza sana upande wa mahitaji ya kike hadi inasahau kutambua common na natural standards za existence katika jamii kwa mwanaume na mwanamke.We jamaa inaonekana uko Weak kweli kweli yani ile Weakest
hata mtu Weak akisoma hapa anaona kilichoandikwa ni Weak sababu kinasound Weaker sababu kimetolewa na Weakest
Very true.Hayo ni mawazo yake, nawe pinga kwa kutumia falsafa inayokubalika. Ina maana hata Mungu alipotoa ubavu wa mwanaume na kumuumba mwanamke alikuwa na mawazo duni?
U are making this about you and him, personal if you will.Utasabbisha hata siku ukiongea cha maana uonekane tahila
Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
Easy tiger, don't snap like u are getting paid for it.Mpaka sasa hakuna hata mtu mmoja aliekusupport kwenye thread yako.
Kama una akili timamu utajitafakari na utagundua kua bado ubongo wako haujatambua kazi yake ndani ya kichwa chako.
Cooking is a life skill and not a gender role. Ni muhimu watoto woote wajue.
Nyue ndo mlienda shule kujifunza jinsi ya kushika kalamu tu.
Hopeless.[emoji1784]
So unatumia emergency scenario kudefine namna ya kuishi?! What if nikikwambia ikitokea mkewe akaumwa atamwita mdogo wake, jirani wa kike, shemeji yake, wifi yake na pengine wanaweza kuwa na house girl wa kuwasaidia kazi.Na wapishi mahili duniani ni wanaume !! Anafundishwa kupika kwa sababu kuna age ambayo mtoto wa kiume anaishi mwenyewe kabla ya kuoa labda 18-25 ataishije ? Siku akiuguliwa na mke ? Siku mke akifa ? Sio kwa ubaya !!!
Correct.Kwenye dunia ya sasa hivi ambayo ni Chafu, isiyo na huruma, uzulumishi, ukatili, uonevu na ubinafsi umetapakaa na kuenea.
Kama unataka mwanao wa kiume asurvive basi mtoto wa kiume anatakiwa afundishwe hivi hapa.
Kujitambua.
Kujitegemea.
Kufanya kazi na kula kwa jasho lake.
Kujitetea na ujasiri.
Utawala na mamlaka.
Nguvu za kiakili na kimwili.
Uongozi na maamuzi.
Uvumilivu wa kimwili, kiakili na kihisia.
Ukatili.
Ubinafsi.
Utu, ubinadamu na heshima.
Umakini na kujilinda kivyovyote vile.
Na mwisho ni nini maana ya kuwa Mwanaume na hakuna kima yoyote anayetakiwa, anayeweza wala kuthubutu kuondoa au kubadirisha maana hiyo.
Na atakaye jaribu au hata kufikiria tu basi amuoneshe consequences mbaya ambazo hatosahau maisha yake yote.
Hivi ndio vichache kati ya vingi ambavyo anatakiwa kufundishwa mtoto wa kiume ni elimu ya kipindi chote ambacho wewe upo hai lakini sio kupika.
Kwa waliolelewa mazingira simple itakuwa ngumu na kamwe hamtonielewa.
Ni bora usizaliwe kabisa kuliko kuzaliwa na mzazi dhaifu asiyejua wajibu wake. consequences ni hao watoto wenu wa kiume kuwa chini yetu kwa kila kitu na kutengeneza kizazi cha watu dhaifu na waoga.
But mbona kama empasis yako ni kumfanya mwanaume afanye mambo ya kike huku hoja u ayopingana nayo ikizungumzia mwanamke kukaa eneo lake la mambo ya kike.Katika kitabu cha mithali kinasema hata mjinga akinyamaza uhesabiwa hekima.
Kwanza katika maisha ya kisasa hakuna jiko la kukalia kigoda ni majiko unapika ukiwa umesimama.
Kama ni mpenzi wa mpishi ya nazi siku hizi masoko yote wana mashine za sido za kukunia nazi unalipa sh 100 tu.
Humu comment za vijana kula kulala kuweka bundle kushinda mitandaoni utazijuwa tu.
Nadhani wewe unafanya unachosema mwenzako anafanya. Yeye kauliza kuwa baada ya jamaa kujifunza kupika amekuwa mtu mzima je yeye na huyo anayejua kupika wamezidiana nini kwa kujua kupika?!Unakaujinga flani kumbe upo hapa kushindana sio kuelimishana
This comes from a place of unknown merits. Ni sawa na mtu anakwambia nenda stand panda basi la mkoa bila kukupa destination.Binaadamu yoyote anayekula ni muhimu kujua kuandaa chakula chake bila kujali jinsia.
Kabisa yaani. Halafu watu hawajui tabia za kike huwa zinakuwa planted kwa namna hii kwa mtoto wa kiume. Mtoto akiharibika wanaanza kumtafuta mchawi mitandaoni.Nyie ndo mmekurupuka na mawazo yenu ya kileo mtoto wa kiume kuwekwa chini eti unamfundisha kupika si sawa. mwanaume anapika ila si kwa mafunzo rasmi.
Hii ndo wakienda kwenye mechezo na wenzao yeye anachagua kupikapika hatimae wana muita mama atafurahia kimbembe kwenye kulala sasaaa
Tuwe makini kwa watoto wakuu
Hii hoja yako ni irrelevant kwenye hii topic. Mleta uzi anaongelea kupika kama gender role sio kama professional.Wanaopika kwenye mahoteli ni akina nani?