Sasa wanapika kwa msingi wa kwamba ni ajira yao na wanalipwa au wanapika kwa msingi wa kwamba jinsia ya kiume inajukumu la kupikia familia yaani mke na watoto kupikiwa na baba?!Mzee Kuna wanaume wangapi Leo hii wanaendesha familia zao kwa kupika....? Na Kuna mabilionea wangapi walio patikana kwa kupika. ...?
Open up
Aiseee upo very intelligent [emoji3447] and umetumia a very good logic. Bravo sana nakupa big up.Asilimia 80 ya menu zinazopikwa na Watanzania ni tofauti na zile za kwenye mahoteli kwanza sidhani kama moja ya vigezo utatumia kuomba kazi ya upishi kuwa ni ulifunzwa kupika utotoni.
Sifungamani na upande wowote lakini mpaka sasa hivi hakuna aliyempinga mleta sredi kwa hoja zenye mashiko.
Mwanaume anabadilika kutokana na mazingira, mimi sijafundishwa kupika lakini mazingira yamenifanya nijuwe kupika.
Kwahiyo kufunzwa au kutokufunzwa kupika kwa mtoto wa kiume hakumuongezei wala kumpunguzia chochote.
Umeongea kidhaifu kama mwanamke hadi nimeona aibu nakujiskia vibaya mimi aisee.Jamaa atakuwa ndo katoka jela toka enzi za ukoloni,kaka skuizi dada zetu ni mabosi zetu ,viongozi na tunawatii kwa moyo mkunjufu.wake zetu wakisema wamechoka tunaingia jikoni tunakaangiza ,kushilikiana na hawa ndugu zetu wa kike raha sana
Asilimia 80 ya menu zinazopikwa na Watanzania ni tofauti na zile za kwenye mahoteli kwanza sidhani kama moja ya vigezo utatumia kuomba kazi ya upishi kuwa ni ulifunzwa kupika utotoni.
Sifungamani na upande wowote lakini mpaka sasa hivi hakuna aliyempinga mleta sredi kwa hoja zenye mashiko.
Mwanaume anabadilika kutokana na mazingira, mimi sijafundishwa kupika lakini mazingira yamenifanya nijuwe kupika.
Kwahiyo kufunzwa au kutokufunzwa kupika kwa mtoto wa kiume hakumuongezei wala kumpunguzia chochote.
Itugharimu kwenye maisha ya kimahusiano kivipi yaani sijakuelewaThen mnalelewa na mfumo jike. Itawagharimu huku uraiani katika maisha ya kimahusiano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi sasa inatosha kila mtu na maisha yake. Haya maisha hatuwezi kufanana kila mtu na malezi yake hivyo basi wewe lea watoto wako/ familia yako kwa malezi unayoona yanafaa na mimi kwangu nitafanya vile naona inafaa.
Hoja yangu iko very relevant..... gender tole, professionalism...... nonsense, kupika ni kupika tu.Hii hoja yako ni irrelevant kwenye hii topic. Mleta uzi anaongelea kupika kama gender role sio kama professional.
Kwahiyo unataka nambia recipe za vyakula vya mahoteli makubwa ni kama hizi za nyumbani?!
Au huwa hautazami vipindi vya mapishi ukaona utitiri wa formula na masharti ya uandaaji wa chakula tofauti na mapishi ya haraka ya nyumbani maana hakuna special formula zinahitajika kuandaa msosi home.
Sent using Jamii Forums mobile app