Wazazi jitahidini kuwaelimisha mabinti wa shule waache tamaa

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
2,228
Reaction score
3,045
Wakuu hope mko poa.

Me ni graduate, nilipomaliza chuo kazi hamna, niliamua kufungua bihashara, namshukuru mungu bihashara inaenda poa kwakweli.

Kwakua sijaoa nakuwa na uvivu wa kupika, hapa kazini kwangu Kuna mmama alikuwa anauza chakula, nilimuomba awe ananiletea chakula Cha jioni ntakuwa nalipa.

Basi huyo mama kumbe ana binti anasoma f3, ndo akapewa jukumu la kuwa ananiletea chakula jioni.

Sasa huyu binti kwakua analeta chakula akawa na access ya kuingia dukani kwangu,na mie sikuona shida, akileta chakula anaingia moja kwa moja ndani. Kwakua kila siku ananiletea chakula usiku, sikupenda, nilimwambia maza yake au mtu yeyote awe ananiletea yeye binti abaki home awe anajisomea, lakini binti alionekana kuwa anafurahia kuniletea msosi.

Nilimzoea Kama mdogo wangu na naapa sijawai mfanya kitu au kumrubuni kimapenzi, lakini yeye kumbe dogo ananipenda hatari. Akileta chakula, akija mteja ananyanyuka chap kumuhudumia[emoji1], yaani imefikia hatua nakosa demu maana wakimuona huyo dogo kwa shob wanadhani ni demu wangu.

Mtoto sio mwizi, hachukui kitu chochote,ila kujileta kwangu na kuoshea watu kuwa yupo na Mimi nakereka Sana, nkimuambia dogo hasikii.

Wazazi na dadaz, waelimisheni wadogo zenu, maana kushobokea wanaume sio poa. Me ningekuwa sijielewi ningemla huyo mtoto,but I can't date with the kids.

N.b nyie vitoto vya sekondari jiheshimuni basi
 
Wakuu hope mko poa.

Me ni graduate, nilipomaliza chuo kazi hamna, niliamua kufungua bihashara, namshukuru mungu bihashara inaenda poa kwakweli.

Kwakua sijaoa nakuwa na uvivu wa kupika, hapa kazini kwangu Kuna mmama alikuwa anauza chakula,nilimuomba awe ananiletea chakula Cha jioni ntakuwa nalipa.

Basi huyo mama kumbe ana binti anasoma f3, ndo akapewa jukumu la kuwa ananiletea chakula jioni.

Sasa huyu binti kwakua analeta chakula akawa na access ya kuingia dukani kwangu,na mie sikuona shida, akileta chakula anaingia moja kwa moja ndani. Kwakua kila siku ananiletea chakula usiku, sikupenda, nilimwambia maza yake au mtu yeyote awe ananiletea yeye binti abaki home awe anajisomea, lakini binti alionekana kuwa anafurahia kuniletea msosi.

Nilimzoea Kama mdogo wangu na naapa sijawai mfanya kitu au kumrubuni kimapenzi, lakini yeye kumbe dogo ananipenda hatari. Akileta chakula, akija mteja ananyanyuka chap kumuhudumia[emoji1], yaani imefikia hatua nakosa demu maana wakimuona huyo dogo kwa shob wanadhani ni demu wangu.

Mtoto sio mwizi, hachukui kitu chochote,ila kujileta kwangu na kuoshea watu kuwa yupo na Mimi nakereka Sana, nkimuambia dogo hasikii.

Wazazi na dadaz, waelimisheni wadogo zenu, maana kushobokea wanaume sio poa. Me ningekuwa sijielewi ningemla huyo mtoto,but I can't date with the kids.

N.b nyie vitoto vya sekondari jiheshimuni basi
Acha dharau mkuu
 
Ukute hata hakutaka kimapenzi bali anakupenda tu kama mimi naweza mpenda mtu mpaka akajua haka kabinti kanamtaks kumbe wala mi niko nafrahisha nafasi yangu tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daaa, sio nzur Sasa,huyu wa kwangu mademu wakimkuta kwa shop, wanadhani ni demu wangu kumbe ata kutongoza sijawai,,katanikosesha papuchi bure [emoji1]
 
Back
Top Bottom