Wazazi jitahidini kuwaelimisha mabinti wa shule waache tamaa

Wazazi jitahidini kuwaelimisha mabinti wa shule waache tamaa

Daaa, sio nzur Sasa,huyu wa kwangu mademu wakimkuta kwa shop, wanadhani ni demu wangu kumbe ata kutongoza sijawai,,katanikosesha papuchi bure [emoji1]
Kakuganda huku anajisubilia akue maana now unamuona mtoto
 
Wakuu hope mko poa.

Me ni graduate, nilipomaliza chuo kazi hamna, niliamua kufungua bihashara, namshukuru mungu bihashara inaenda poa kwakweli.

Kwakua sijaoa nakuwa na uvivu wa kupika, hapa kazini kwangu Kuna mmama alikuwa anauza chakula,nilimuomba awe ananiletea chakula Cha jioni ntakuwa nalipa.

N.b nyie vitoto vya sekondari jiheshimuni basi
Wee jamaa hujielewi kabisa. Sasa mrembo kajileta mwenyewe baadala ya kumgegeda unakuja chapa marimba ya mzungu hapa JF.
 
Daaa, sio nzur Sasa,huyu wa kwangu mademu wakimkuta kwa shop, wanadhani ni demu wangu kumbe ata kutongoza sijawai,,katanikosesha papuchi bure [emoji1]
Navile uko na kashop haki siganduki MIE ukute shule yenyewe naona wenge tu najua nikiwa nawe nitakua nauza hapo shop na natengeneza visheti vingine shop vingine unatembeza ko WOTE tunajiajiri[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuu ningekuwa nshapiga mechi mingi sana toka uwanja wa taifa hadi kwa mparange
 
Khaaa nyie wanawake mna mambo
Wlkipendacho roho[emoji3059][emoji3059][emoji3059] hata ningekua mimi nikiamua langu jua limepita hilo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pongezi KWA bi kidawa huyooooo
 
Wlkipendacho roho[emoji3059][emoji3059][emoji3059] hata ningekua mimi nikiamua langu jua limepita hilo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pongezi KWA bi kidawa huyooooo
[emoji1][emoji1][emoji1] yaani huyu dogo kapenda hatari, akitumwa sehemu lazima anipitie, akitoka shule anakuja wa mwisho peke yake ili anipe hai[emoji1][emoji1]
 
Navile uko na kashop haki siganduki MIE ukute shule yenyewe naona wenge tu najua nikiwa nawe nitakua nauza hapo shop na natengeneza visheti vingine shop vingine unatembeza ko WOTE tunajiajiri[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jinga Sana wewe[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wee jamaa hujielewi kabisa. Sasa mrembo kajileta mwenyewe baadala ya kumgegeda unakuja chapa marimba ya mzungu hapa JF.
Akidungwa mimba na kunisingizia mie,utanisaidia kwenda kisongo
 
Atadungwajwe mimba wewe sii unamuelimisha kuhusu matumizi ya condom bwana weye
Mkuu wanafunz wajinga Sana, utamla kwa ndom akichepuka anapigwa kavu, akipata mimba anakutaja wewe
 
Ni kama vile nawe unataka, umeandika hapa kupima upepo.....bila shaka umepata mwongozo
 
Wakuu hope mko poa.

Me ni graduate, nilipomaliza chuo kazi hamna, niliamua kufungua bihashara, namshukuru mungu bihashara inaenda poa kwakweli.

Kwakua sijaoa nakuwa na uvivu wa kupika, hapa kazini kwangu Kuna mmama alikuwa anauza chakula, nilimuomba awe ananiletea chakula Cha jioni ntakuwa nalipa.

Basi huyo mama kumbe ana binti anasoma f3, ndo akapewa jukumu la kuwa ananiletea chakula jioni.

Sasa huyu binti kwakua analeta chakula akawa na access ya kuingia dukani kwangu,na mie sikuona shida, akileta chakula anaingia moja kwa moja ndani. Kwakua kila siku ananiletea chakula usiku, sikupenda, nilimwambia maza yake au mtu yeyote awe ananiletea yeye binti abaki home awe anajisomea, lakini binti alionekana kuwa anafurahia kuniletea msosi.

Nilimzoea Kama mdogo wangu na naapa sijawai mfanya kitu au kumrubuni kimapenzi, lakini yeye kumbe dogo ananipenda hatari. Akileta chakula, akija mteja ananyanyuka chap kumuhudumia[emoji1], yaani imefikia hatua nakosa demu maana wakimuona huyo dogo kwa shob wanadhani ni demu wangu.

Mtoto sio mwizi, hachukui kitu chochote,ila kujileta kwangu na kuoshea watu kuwa yupo na Mimi nakereka Sana, nkimuambia dogo hasikii.

Wazazi na dadaz, waelimisheni wadogo zenu, maana kushobokea wanaume sio poa. Me ningekuwa sijielewi ningemla huyo mtoto,but I can't date with the kids.

N.b nyie vitoto vya sekondari jiheshimuni basi
yaani kuja dukani na kuhudumia wateja na kutokuiba tayario unaona kakupeda ??? au mimi ndo sijaelewa ila kumbuka kuna miaka 30 mkuu uaweza kuepuka kwa kutumia akili yako
 
Back
Top Bottom