Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,228
- 3,045
- Thread starter
- #61
Not easyatapitia makuyuni jkt apigwe kwanza ndo apelekwe kisongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not easyatapitia makuyuni jkt apigwe kwanza ndo apelekwe kisongo
We ndio umeandika kama graduateTuliza akili andika Kama graduate,,,,badala ya kuleta shtaka just treat her according to your level of thinking capacity,,,,graduate mzima huielewi adolescence
Not easyMto wa Mbu ukifanya mchezo hicho kiduka chako kitakwenda na maji .Heshima kitu cha bure iko siku shetani atakuvaa tu so mwambie mama ake asimtume dogo hizo ni fitna.
Usiguneeeeee...... Tafuta Pepsi unyweeeee.
Sawa mamaUsiguneeeeee...... Tafuta Pepsi unyweeeee.
Wazazi wa siku hizi... Siyooo wawazi kwa mabinti zaooo, ukishaharibikiwa ndy wanaanza kufunguka.
Ushahidi mama yangu mzazi mm... Hajawahi niambia habari za kujitunza nikiwa kama binti ninayepambania ndoto zangu.
So nashukuru kaelimu ka shule kamenisaidia sanaaaaaaaaa
Mmmmmh [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Yaani namwambia hasikii, kuwa asome lakini hajiisi fresh hasiponiona
Nakupenda weweHapa JF unampenda nani?
Sasa unajishauwa nini? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nauza mama
Relax uenda ndio mke wako mtarajiwa hatakua mtoto/mwanafunzi siku zote.Wakuu hope mko poa.
Me ni graduate, nilipomaliza chuo kazi hamna, niliamua kufungua bihashara, namshukuru mungu bihashara inaenda poa kwakweli.
Hebu fanya kama unanipenda mimi halafu tuone namna utakavyofurahisha nafsi yako.Ukute hata hakutaka kimapenzi bali anakupenda tu kama mimi naweza mpenda mtu mpaka akajua haka kabinti kanamtaks kumbe wala mi niko nafrahisha nafasi yangu tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama kweli hupendi na siyo kudengua basi tafuta sehemu nyingine ya kupata mlo. Nadhani unataka watu wakwambie chukua hiyo. Ila kama kweli hutaki, na pesa ya chakula ni yako, kwanini uwekewe mtego? Anaweza kuonekana mwema kwa sasa kwa sababu hajaingia kumi na nane.Wakuu hope mko poa.
Me ni graduate, nilipomaliza chuo kazi hamna, niliamua kufungua bihashara, namshukuru mungu bihashara inaenda poa kwakweli.
Anataka shoo na pia hela za matumizi ya shule.Wakuu hope mko poa.
Me ni graduate, nilipomaliza chuo kazi hamna, niliamua kufungua bihashara, namshukuru mungu bihashara inaenda poa kwakweli.
Kwakua sijaoa nakuwa na uvivu wa kupika, hapa kazini kwangu Kuna mmama alikuwa anauza
Kama ni mikoa ya Pwani ndio kawaida yao.Kwakweli kumtafuna sitaki mkuu,
Maoni mazuri fuata ushauri huu.Kama kweli hupendi na siyo kudengua basi tafuta sehemu nyingine ya kupata mlo. Nadhani unataka watu wakwambie chukua hiyo. Ila kama kweli hutaki, na pesa ya chakula ni yako, kwanini uwekewe mtego? Anaweza kuonekana mwema kwa sasa kwa sababu hajaingia kumi na nane. Akishaingia anabadilika utashangaa. Wake wa kutegeshewa mara nyingi wanaweza kuwa siyo wema. Hapo kumbuka unadeal na mama mtu. Ndiye yuko nyuma ya kila kitu kuhakikisha unanasa. Akili kichwani na chaguo ni lako.