Wazazi jitahidini kuwaelimisha mabinti wa shule waache tamaa

Wazazi jitahidini kuwaelimisha mabinti wa shule waache tamaa

Jinga Sana wewe[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sema visheti utauza huuzi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
yaani kuja dukani na kuhudumia wateja na kutokuiba tayario unaona kakupeda ??? au mimi ndo sijaelewa ila kumbuka kuna miaka 30 mkuu uaweza kuepuka kwa kutumia akili yako
Sijaandika kila kitu, afu nshakuambia siwezi denti ya mwanafunz
 
[emoji1][emoji1][emoji1] yaani huyu dogo kapenda hatari, akitumwa sehemu lazima anipitie, akitoka shule anakuja wa mwisho peke yake ili anipe hai[emoji1][emoji1]
[emoji849][emoji849][emoji849]masikin pole yake engekua busy tu na masomo yake aache shobo na WANAUME haya maisha ukutegemea cha mtu sio poa
 
[emoji849][emoji849][emoji849]masikin pole yake engekua busy tu na masomo yake aache shobo na WANAUME haya maisha ukutegemea cha mtu sio poa
Yaani namwambia hasikii, kuwa asome lakini hajiisi fresh hasiponiona
 
Ngoja Mkuu tuweke rekodi sawa unaogopa kwenda jela au unaogopa kukala?
 
Ukute hata hakutaka kimapenzi bali anakupenda tu kama mimi naweza mpenda mtu mpaka akajua haka kabinti kanamtaks kumbe wala mi niko nafrahisha nafasi yangu tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa JF unampenda nani?
 
Huu ushauri ungempa bi mkubwa wake ungeonekana ina akil sana, kuliko kuja kulialia huku! inaonesha unatafuta uhalali wa kumtafuna huku!
 
Mto wa Mbu ukifanya mchezo hicho kiduka chako kitakwenda na maji. Heshima kitu cha bure iko siku shetani atakuvaa tu so mwambie mama ake asimtume dogo hizo ni fitna.
 
Wakuu hope mko poa.

Me ni graduate, nilipomaliza chuo kazi hamna, niliamua kufungua bihashara, namshukuru mungu bihashara inaenda poa kwakweli.
Tuliza akili andika Kama graduate,,,,badala ya kuleta shtaka just treat her according to your level of thinking capacity,,,,graduate mzima huielewi adolescence
 
Back
Top Bottom