Wazazi jitahidini kuwaelimisha mabinti wa shule waache tamaa

Kwa taarifa yako huyo mtoto hata akija kujazwa na njemba nyingine huko mzee baba huchomoki huk msala na ukija kuchomoka utachomoka ukiwa umechoka sana
We kweli hewa,,yaani apigwe nje mie nipate msala
 
Sasa hapo mtoto wa watu ana kosa gani. Ni tamaa ipi amekuonyesha?!

Mbona anaonekana ni binti mwenye adabu na anajitoa na kujituma. Pengine ndio future wife ila wewe na kichwa chako kizito umefeli kutambua hilo.
Mmm mpaka amalize shule,,ntakuwa nshaoa
 
Kama kweli hupendi na siyo kudengua basi tafuta sehemu nyingine ya kupata mlo. Nadhani unataka watu wakwambie chukua hiyo. Ila kama kweli hutaki, na pesa ya chakula ni yako, kwanini uwekewe mtego? Anaweza kuonekana mwema kwa sasa kwa sababu hajaingia kumi na nane. Akishaingia anabadilika utashangaa. Wake wa kutegeshewa mara nyingi wanaweza kuwa siyo wema. Hapo kumbuka unadeal na mama mtu. Ndiye yuko nyuma ya kila kitu kuhakikisha unanasa. Akili kichwani na chaguo ni lako.
Mmmm sidhani
 
Mkuu endelea hivyo hivyo kufikiria kwa kichwa cha juu, mchukulie kama mdogo wako, mademu wako wengi tuu...
 
Wakuu hope mko poa.

Me ni graduate, nilipomaliza chuo kazi hamna, niliamua kufungua bihashara, namshukuru mungu bihashara inaenda poa kwakweli.

Kwakua sijaoa nakuwa na uvivu wa kupika, hapa kazini kwangu Kuna mmama alikuwa anauza chakula, nilimuomba awe ananiletea chakula Cha jioni ntakuwa nalipa.

Basi huyo mama kumbe ana binti anasoma f3, ndo akapewa jukumu la kuwa ananiletea chakula jioni.

Sasa huyu binti kwakua analeta chakula akawa na access ya kuingia dukani kwangu,na mie sikuona shida, akileta chakula anaingia moja kwa moja ndani. Kwakua kila siku ananiletea chakula usiku, sikupenda, nilimwambia maza yake au mtu yeyote awe ananiletea yeye binti abaki home awe anajisomea, lakini binti alionekana kuwa anafurahia kuniletea msosi.

Nilimzoea Kama mdogo wangu na naapa sijawai mfanya kitu au kumrubuni kimapenzi, lakini yeye kumbe dogo ananipenda hatari. Akileta chakula, akija mteja ananyanyuka chap kumuhudumia[emoji1], yaani imefikia hatua nakosa demu maana wakimuona huyo dogo kwa shob wanadhani ni demu wangu.

Mtoto sio mwizi, hachukui kitu chochote,ila kujileta kwangu na kuoshea watu kuwa yupo na Mimi nakereka Sana, nkimuambia dogo hasikii.

Wazazi na dadaz, waelimisheni wadogo zenu, maana kushobokea wanaume sio poa. Me ningekuwa sijielewi ningemla huyo mtoto,but I can't date with the kids.

N.b nyie vitoto vya sekondari jiheshimuni basi
Me
Bihashara
MMama
dadaz

Msomi wetu huyo.
 
Mimi nakutabiria tu, hiyo bihashara utaifunga ndani ya miezi michache kuanzia sasa. Then utarudi mtaani kutafuta ajira.
 
Shetani yuko karibu nawe

Mshinde katika Hilo jaribu na utafanikiwa sana
 
Back
Top Bottom