Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Mwache jamaa amalizienbasiššKiufupi,wao waligeuzwa warembo š¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwache jamaa amalizienbasiššKiufupi,wao waligeuzwa warembo š¤£
acha utotoWasalaam Wataalam wa Darisalaam,
Sinza na kinondoni sio mitaa ya kuruhusu kijana wako atembee usiku,kwanini?
Ngoja niwarudishe nyuma miaka kadhaa nilipokuwa kijana mdogo tu aliyemaliza form four.Ndevu Bado zinaota ota.
ilikuwa wikendi moja tukufu ya sikukuu, Mimi na rafiki yangu tumetòroka home tumeenda bar moja Sinza. Sasa ilipofika mida ya saa6 tukawa tumelewa na pombe kama kawaida yake zikahamia chini. Akili ikaja tutoke tukatafute club zenye Malaya.
Tukawa tunatembea mguu kwa mguu kwenye mitaa ya Sinza tukiulizia kwenda Lachaz au Ambiance au pande zozote zenye malaya. Hapo tunatembea tunayumba.
Kuna mtaa mmoja tulifika siukumbuki mtaa gani, ila kwa mbele tukaona kama bro mmoja anakuja direction yetu ila alipotuona akageuza akaanza kuelekea tunakoenda sisi. ilikuwa ni mtaa wenye Giza Giza sio kwenye main road. Yule bro akaanza kupunguza mwendo tukawa tunamkaribia tu mwishowe tukafika usawa wake..,
Itaendelea, ngoja kwanza nijimwagie maji apa.