Wazazi kuweni makini na watoto/vijana wadogo kutembea Usiku mitaa ya Sinza na Kinondoni

Nileteeni Chapati.

Kwa nchi na Mjinulio salama kwa watu wote, inashangaza kusikia au kusoma ushauri kama huu.

Kwani tupo Ulaya au huko jehanamu ambako wanawalawiti watoto kila dakika bhana! Msitake kutubadilishia uhuru wetu.

Wacheni wananchi wafurahie Nchi yao, Usiku na Mchana.
 
acha utoto
 
Reactions: EEX
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…