MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Umaskini ni fedheha. Umaskini ni jambo la kupambana nalo kufa na kupona. Fanya ufanyavyo usiwe maskini. Umaskini huambatana na mambo mengi sana ya hovyo. Mtu mwenye njaa ana sura mbaya na roho mbaya. Sijui kwa enzi za mababu zetu ila maskini wa leo hii ni ngumu mno kuiona pepo. HAIWEZEKANI. Maskini wengi sana motoni direct. Kataa kuitwa maskini au mnyonge. Maskini wengi ndo huwa wachawi sana vijijini na maeneo ya uswazi. Maskini wengi ndo huwa miongoni mwa wale watu wanaoitwa "wananchi wenye hasira kali". Maskini kukuchoma moto ni dakika sifuri.
Leo nakemea hii tabia ya wazazi maskini kuweka pua zao kwenye ndoa za watoto wao. Utakuta binti kaolewa na kijana anayejiweza ila ndo hivyo familia yake itaanza kumtegemea utadhani kijana kaoa ukoo mzima. Wazazi wengine hasa kina mama huenda mbali zaidi kwa kumfunza binti uchawi ili aweze kumdhibiti mume. Ni upuuzi mtupu. Utakuta kijana ana mipango yake ya maendeleo lakini inakwama kutokana na kutoa hela nyingi kuhudumia ukweni. Mwisho wa siku ni majanga matupu. Hawa parasites kwenye ndoa za watu tuwakatae. Ndoa ni ya watu wawili na sio ukoo mzima.
Kijana nakushauri kama unataka kuoa jitahidi usioe binti ambaye kwao ndo tegemeo. KUZALIWA NA BABA MASKINI NI MPANGO WA MUNGU ILA KUWA NA BABA MKWE MASKINI NI MPANGO WAKO BINAFSI. Utajuta. Na nyie wazazi wapuuzi mnaomfuata fuata binti yenu aliyepo kwenye ndoa muache mara moja. Pambaneni kivyenu mjikwamue. Mahari ndo halali yenu na sio zaidi ya hapo.