Wazazi mmekuwaje?

Wote wanaume au wanawake hukutana na swali hilo wakishafikia umri wa kuwa kwenye ndoa
 
600k ni hela nyingi kwa mtu ambaye hajasoma, akianza kujikusanya akiwa na 20 yrs anafanya savings mpaka anafika 25 au 26 anakuwa na assets au amewekeza kiasi.l hivyo hiyo 600k kwa mwezi anaendelea.
600k kwa mwezi hiyo ni hela ndogo kwa college graduate kuitumia kuoa na miaka 25/26. Yaani huna hata mwaka ukiikusanya hiyo, tiyari nyege zinakushinda nguvu.

Unless uniambie maisha yake malengo yake ni kupanga nyumba na akifanikiwa sana kununua IST akiwa na miaka 50. Ila hutokutana na young passionate graduate ambaye ni entrepreneur ana duka au ni electrician akawaza kuoa na income hiyo. Badala uwaze kununua workstation kubwa, uongeze mashine, upate muda wa training zaidi ukue zaidi kwenye sector. Wewe unakimbilia kununua uji wa mtoto, mara mke amenuna, ukiumwa wiki tu unakopa kila kona, mara mama mkwe ni mgomjwa atakuja kufikia kwako ili awe anaenda check up Muhimbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…