Wazazi mmekuwaje?

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nimecheka sana ila wazazi daah

so ni bonge really???
 
na wewe mbea
yaani umechunguza wee daah umetisha πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Sio umbea ni sababu nimeshiriki michango mingi ya harusi, pia huwa ni mtoaji kwa chochote kidogo. So ni rahisi mtu akiwa na shida kunitafuta hata kama namba yangu hana, au rafiki yake kunitafuta.

Sasa kama mtu unaambiwa amelazwa hospitali hana hela msaidie kupunguza bill. Na huyo kaolewa mume ana ndugu na mke ana ndugu. Na bill yenyewe ni mtoto alikuwa na malaria. Sasa huoni hatari hapo. Mume akiyumba kidogo mke hana back up.
 
Wewe na aliyeleta ushauri Manyanza mnawaza sawa tofauti ni kwamba wewe nimechagua kukujibu yeye nikamdharau

Mbwembwe zote mwisho wa siku unauliza kama jimbo liko wazi!
Siwezi kujibu maswali mepesi
Duh hivyo tena ? Utaitwaje Mchumba humu na Maroboti????
Spiritually zile Kibaba na Kimama za Utotoni zimeharibu sana nafasi za Vijana tulioko 25+ kuoa au kuolewa
Kausha Mwanangu, Jumatatu tukutane Karume tule urojo na Mishikaki ya Kuku
 
Sasa miaka 37 ni yakuwahi ndoa?πŸ€” Bado nina miaka 3 free, nikifunga 40 ndio nitatafuta mume
 
hahahahah hio anaeza asielewe

labda ile GREAT ECONOMIC DEPRESSION ya kwenye history πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
hahahahah hio anaeza asielewe

labda ile GREAT ECONOMIC DEPRESSION ya kwenye history πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Palina unazingua! Nishagoogle maana ya depreciation
Kwani wewe umeshaolewa?πŸ€”
 
kwa karne ya sasa nafikiri a girl anatakiwa apate her life kwanza/ aweze kulipa bills ya aina yeyote ile i mean awe na financial freedom

Maidha ya ndoa ni zaidi ya ndoa yenyewe kukosa hata mia ya kumnunulia mwanao hata bigbom au kangua kazuri umekaona ni huzuni sana
 
Hiki ndicho mimi ninakiwaza! Lakini mzee wa hovyo Dr Restart anaforce niolewe sasa hivi hovyoo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…