Wazazi mmekuwaje?

Wazazi mmekuwaje?

Mm Kuna Muda sidhani sana kama wazazi wanataka kukwepa majukumu
Nafikiri Huwa wanawaza mengi sana nje ya majukumu,

Kwasasa kijana anasubiri ajitafute awe stable enough ndio aowe, unakuta mtu Hadi 35+ au hata 40 Bado anajitafuta na bint naye Hadi 32+ wengine Hadi 35 Bado wanadate tu wahajaanza kuishi pamoja kama wanandoa.

Hebu tujiulize swali dogo kama wazazi wetu nawao wangesubr hadi wawe kma sisi tutakavyo nakuhakikishia Kuna wengne humu JF wangekuwa Bado hawajazaliwa Hadi leo😭😭

maana Kwa wazazi wetu ni jambo la kawaida kumkuta baba ana 45 mtoto wake wa kwanza ana 20+
Wazee jaman wanataman kuona hata vizazi vyetu pia wanataman sana wajukuu life expectancy imeshuka wanaona kabisa watakufa bila kuona watoto wetu.
 
We unafikiri mama yako hasikii simu zako ukiwa unaongea na mpenz wako.
Anakusikia sanaa.Anajua yupo.
Wa mama wana akili sanaa.
Wazazi wapo mbele ya mda, hasa kwa watoto wao. Bahati mbaya madogo wanaona wanajua zaidi, ila mda unawapa somo sio poa.

Imagine binti yupo home, hana kazi ila anaishi poa tu, kuna sponsors wana-cover daily expenses. Hakuna sponsor anayemiliki kwa.mda mrefu, anaingia huyu na kesho anaingia mwingine...end of the day binti anawekwa hovyo tu..angalau basi uwe na binti anajitunza...wengi wanajiachia tu!!
 
Unaongea kwa uchungu mwenyewe!😂
 
Hii ndio inamfanya yule Binti mjuaji kutimiza miaka 42 na mtaani kwake kuitwa ajuza
 
Nikikumbuka maza alinitafutia binti wa mchungaji then siku ya kuonana nae niliibuka nikiwa kitungi huwa naishia kucheka tu, uzuri kwa sasa wameshajikatia tamaa maana niliwaambia kuoa huwa ni suala ambalo hata silifikirii
Masandale kwa mama kibena,kuna watoto wengi sana wanatulilia mkuu , ndio maana kuoa inakua ngumu😁😁😁
 
Back
Top Bottom