Wazazi mmekuwaje?

Wazazi mmekuwaje?

Mkuu! Wewe ndiye umeandika kitu kinachoendana na dunia ya sasa hivi

Kuingia kwenye ndoa huku mkiwa hamna vyanzo vya mapato vya kueleweka ni stress mara mbili yake.

Ifike hatua ndoa isiwe overrated!
Unaingia kwenye ndoa mnahitaji watoto wakati kipato chenyewe kuhudumia watu wawili ni mbinde!

Najitafuta, nikijipata nitageukia ndoa, sasa hivi waniache kwanza na matokeo yoyote sitomlaumu yeyote msalaba wangu nitaubeba mimi mwenyewe..! :AmberDollDance:
Ndoa Kama miogo ya kuchemsha tu
 
Mkuu ephen_ ni Jambo jema kwa wazazi kufanya hivyo niko hapa kukuomba tena ikiwa bado haujaolewa naomba nikuoe binti maana sidhani Kama mkuu Lucas Mwashambwa atakuoa na hizi pilika zake za uchaguzi 2025 namuona akifia majukwaani alafu hasahau ndoa kabisa
Kuolewa mimi bado! Tuangalie miaka 5 ijayo😂
 
Back
Top Bottom