min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
😒😒Na lukasi😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😒😒Na lukasi😅😅😅
Kumbe vya kufanya unavijua ila kuwekwa ndani ndo hutaki??Subiri niache kufanya ili nisipate mimba😂
Ndio
Sio wazee wa zamani, hata sisi tulivyokuwa 20s wazazi walikuwa na uchungu na sisi hivi hivi, na madogo tulikuwa hatuwasikiizi.Wazee wa zamani wanashindwa kuelewa hiki ni kizazi cha dot.com😂😂😂
Kufanya nini ephen😜We ungeweza uvuke 18 bila kufanya?😂
🤣🤣kwa ule umoto siwezi, timiza ndoto tupate shem sieWe ungeweza uvuke 18 bila kufanya?😂
Nitatoka huko 😊😊Unanuna nini! Wewe si timu kataa ndoa?
I will be there waiting for you my future wifeKuolewa mimi bado! Tuangalie miaka 5 ijayo😂
Unaongea vitu kinadharia mno mkuu.Hata sio mabinti peke yao. Vijana ambao tunatafuta bado nao waliokurupuka kuoa wanaonja joto la jiwe. Mtu kisa kamaliza chuo wazazi hao mbiombio wanataka aoe au kuolewa. Kuna washkaji zangu Waislamu wao wazazi wanaandaa mazingira kijana akimaliza ataoa na atamtunza mke kwa hiki kibiashara. Sunna haiji na maneno matupu.
Sasa wazazi wengine wanawaza kuchangiwa kurudishiwa michango yao ya harusi na kutuzwa, aftermath utajua wewe. Binti ni gratuate anaolewa na mume kaajiriwa Posta kwenye ofisi binafsi zile zinakaba unatumia muda mwingi kazini, take home 600,000 alafu wanaishi Mbezi ndanindani huko maana ndio nyumba nzuri zina gharama nafuu.
Ukitazama spending ya wote kwenye familia kwa mwezi ni 550,000 na hapo kuna miujiza mtoto haumwi. Akiumwa tu hizo nauli za Mbezi kwenda hospitali mke na mtoto hawapandi daladala ni bajaj. Hapo ukweni hawajafiwa na hawajapata harusi.
Vicious cycle of poverty.
🤣🤣🤣🤣 mimi nilimjbu mama yangu kua Karnes zao siyo sawa na sasaWewe siumefungua uzi jana kulalamika una 27 hakuna anayetaka kukuoa🤔kumbe ulichezea bahati
Kapeace njoo huku uliyosema ni haya😂
Wewe unayejua lolote kuhusu familia ongea vitu kivitendo ili wasiojua wajifunze. Uhalisia ni upi?Unaongea vitu kinadharia mno mkuu.
Mtu asiyejua Lolote kuhusu Familia anaweza kukuona wewe ni shujaa wa Hoja.
Niahidi mbele ya kadamnasi hii ya jamiiforums kuwa ikiwa hiyo miaka mitano nitakusubiri basi hakika utaolewa na Mimi ili Sasa niendelee kuneng'eneka na tutoto twa wanakijiji ninapokusubiri wewe mke wa mimiAcha tuone😂